wakamatwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. BARD AI

    Singida: 6 Wakamatwa kwa tuhuma za Mauaji na Kufukua Makaburi

    WATU sita wanashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Singida wakihusishwa na mauaji ya watu, ufukuaji wa makaburi na kuchukua viungo, baadhi ya vitu vya maiti katika maeneo tofauti wilayani Manyoni. Imeelezwa na Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Singida, Stella Mutabihirwa, leo Machi 28, 2023 kuwa...
  2. M

    Kiteto: Wanawake wawili wakamatwa na Nyara za serikali

    Wanawake wawili wa Kijiji cha Kimana wilayani Kiteto Mkoani Manyara, wanashikiliwa na Jeshi la Polisi Kiteto kwa kukutwa na nyara za Serikali, ambazo ni Swala na mtoto wa mnyama aina ya Digidigi ambaye yuko hai. Wanawake hao ni Veronica Paulo (24) na Witnes Paulo (20) ambapo Machi 20.2023...
  3. The Sheriff

    CPJ: Takriban wanahabari 14 wakamatwa, kushambuliwa au kunyanyaswa wakiripoti uchaguzi wa Nigeria

    Takriban wanahabari 14 na wafanyakazi wa vyombo vya habari wamezuiliwa, kunyanyaswa, au kushambuliwa wakati wakiripoti uchaguzi mkuu wa Nigeria, akiwemo mmiliki wa tovuti binafsi ya habari ya WikkiTimes Haruna Mohammed Salisu, ambaye bado anashikiliwa na polisi bila kufunguliwa mashtaka...
  4. benzemah

    Vijana wadogo wakamatwa kwa ujangili, waua Twiga

    Jeshi la Polisi mkoa wa Manyara kwa kushirikiana na TAWA limewakamata watu wawili waliotambulika kwa majina ya Richard Paulo (Miaka 23) na Masiaya Lais (Miaka 19) katika kijiji cha Minjingu katika hifadhi ya Jamii ya Burunge wilayani Babati wakiwa nyara za serikali ambazo ni nyama ya Twiga...
  5. BARD AI

    Tanga: Wanafunzi 12 wakamatwa wakivuta Bangi vichakani

    Wanafunzi 12 wa shule ya Sekondari Handeni iliyopo wilayani Handeni mkoani Tanga wamekamatwa vichakani wakivuta bangi na kucheza kamari muda wa masomo hali iliyopelekea uongozi wa shule hiyo kuwasimamisha masomo kwa muda wa siku 14. Wanafunzi hao wamekamatwa kufuatia oparesheni maalumu ya...
  6. JanguKamaJangu

    Brazil: Waandamanaji 1500 wakamatwa, aliyekataa matokeo ya Urais amelazwa Marekani

    Waliokamatwa ni wafuasi wa Rais aliyepita, Jair Bolsonaro ambao walivamia Bunge, Mahakama ya Juu na Ikulu Jijini Brasilia ikiwa ni wiki moja baada ya Luiz Inacio Lula da Silva kuapishwa kuwa Rais. Rais da Silva amelaani maandamano hayo na kuita ni ghasia za kigaidi na kuahidi kuwashughulikia...
  7. Idugunde

    Polisi yatangaza kuwakamata wanaodaiwa kufanya Ujambazi maeneo ya Goba, wajeruhiwa kwa risasi

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, tarehe 08/1/2023 saa 6 :30 mchana eneo la Mabibo External Kinondoni lilifanikiwa kuwakamata majambazi sugu wanne wakiwemo Athuman Yusuph Mbalilo SOTI (50) Mkazi wa Kimara Temboni, Mpoki Raphael @ Mwangwisya (41) mkazi wa Mbezi Luis na wengine wawili...
  8. BARD AI

    Wanahabari wanaodaiwa kuvujisha Video ya Rais Salva Kiir akitokwa haja ndogo wakamatwa

    Kiongozi wa Muungano wa Waandishi wa Habari wa nchini humo, Patrick Oyet, ameripoti kuwa Wanahabari 5 wanashikiliwa na Idara ya #UsalamawaTaifa kuanzia Januari 3 na mmoja kuanzia Januari 4, 2023. Shirika la Uangalizi wa Waandishi wa habari la Committee to Protect Journalists (CPJ) limetoa wito...
  9. Moronight walker

    Ujasusi Congo: Majasusi wa Rwanda wakamatwa nchini Congo

    Serikali ya drc imesema kwamba imekamata majasusi wa Rwanda jijini Kinshasa. Ambao walifanikiwa kujipenyeza na kuwa ba mawqsiliano na maofisa wa juu wa jeshi la congo. Majasusi HAO walikuwa wanapanga njama za kuangusha ndege ya rais felix. Serikali ya congo imesema wanao USHAHIDI wa kutosha...
  10. Roving Journalist

    Watuhumiwa 11 wa makosa ya kimtandao wakamatwa

    KUKAMATWA KWA WATUHUMIWA 11 MAKOSA YA KIMTANDAO Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam kwa kushirikiana na timu maalum ya kuzuia na kupambana na makosa ya mtandao limewakamata watuhumiwa 11 wa makosa ya kimtandao kufuatia ufuatiliaji mkali unaoendelea kufanywa na Jeshi la Polisi na Timu...
  11. BARD AI

    Songwe: Polisi wakamata walioanzisha kiwanda feki cha Sukari

    Waliokamatwa ni Oscar Chisunga, John Chisunga, Moses Mussa, Fredy Thobias na Eddy Mwashambwa ambapo wamekutwa na Kilo 440 za Sukari iliyoingizwa nchini kimagendo. Kamanda wa Polisi ACP Alex Mukama amesema Wafanyabiashara hao wakazi wa Mlowo wilayani Mbozi walighushi Sukari na kuiweka kwenye...
  12. Roving Journalist

    Dar: Watu watatu Wakamatwa wakiwa na kilo 15.19 za dawa za kulevya aina ya Heroin

    Washirika wa mmiliki wa kituo cha Cambiasso Sport Academy kilichopo Tuangoma wakamatwa na kilo 15 za dawa za kulevya aina ya heroin. Mamlaka ya Kupambana na Dawa za Kulevya nchini (DCEA) imewakamata watuhumiwa watatu ambao ni washirika wa mmiliki wa kituo cha Cambiasso Sport Academy kilichopo...
  13. BARD AI

    Tabora: Wakamatwa wakiwa na Magamba 172 na kucha 16 za Kakakuona

    Kamanda wa Polisi Mkoa, Richard Abwao amesema watuhumiwa wawili walikutwa na Nyara hizo ikiwemo Ulimi na Maini ya mnyama huyo pamoja na Magamba ya Kiboko. Pia, watu 38 wamekamatwa kwa kujihusisha na matukio ya wizi wa Pikipiki 10, uvunjaji na wizi wa Mifugo ambapo Ng’ombe 24 walioibwa maeneo...
  14. BARD AI

    Rukwa: Waganga 170 wakamatwa, wengine walikuwa wakifanya mapenzi na wake za watu

    Watuhumiwa hao wanadaiwa kuwalaghai wananchi kuwa wana uwezo wa kuwatambua na kuwaadhibu wachawi, kusafisha nyota na kufufua wafu hivyo kusababisha chuki, husuda, na taharuki. Kwa mujibu wa Kamanda wa Polisi Theophista Mallya, waganga hao wanakuwa na kioo kinachodaiwa kutambua kama kuna uchawi...
  15. JanguKamaJangu

    Iran: Waigizaji wawili wakamatwa kwa kuunga mkono maandamano

    Waigizaji hao wa kike, Hengameh Ghaziani na Katayoun Riahi wanashikiliwa wakidaiwa kwenda kinyume na mamlaka kwa kutovaa mavazi ya kufunika vichwa vyao hadharani na kuunga mkono maandamano yanayoendelea. Maandamano yanayoendelea yamesababisha vifo vya watu wengi na wengine kujeruhiwa chanzo...
  16. BARD AI

    Watumishi wanne wakamatwa Handeni, 27 wasakwa

    Jeshi la Polisi limewakamata viongozi wanne wa Serikali wilayani Handeni mkoani Tanga kwa tuhuma za kuuza ardhi ekari zaidi ya 500 na mbao 1,000 kinyume na utaratibu. Viongozi hao wamekamatwa leo Jumapili Novemba 13, 20 kufuatia agizo la Mkuu wa mkoa wa Tanga, Omary Mgumba. Mgumba ametoa agizo...
  17. Sildenafil Citrate

    Polisi wakamata wanawake wawili wakiwa na misokoto 1,220 ya bangi

    Wanawake wawili wakazi wa Mkoa wa Arusha wanashikiliwa na polisi wa Mkoa wa Manyara, kwa tuhuma za kukutwa na misokoto 1,220 ya dawa za kilevya aina ya bangi. Kamanda wa polisi wa mkoa wa Manyara, George Katabazi akizungumza na Mwananchi Digital leo jumanne Septemba 27 amesema wanawake hao...
  18. JanguKamaJangu

    Wanajeshi wa Cameroon wakamatwa kwa kuua raia kwa risasi

    Wanajeshi watatu wanadaiwa kuwashambulia Wananchi na kuua Wanawake wawili wasiokuwa na silaha katika Kijiji cha Andeck. Wanaharakati wa kutetea Haki za Binadamu wanalaumu Jeshi la Cameroon kwa tukio hilo walilofanya wakati wakiwasaka washukiwa wanaoupinga utawala wa Serikali iliyopo madarakani...
  19. JanguKamaJangu

    Kenya: Watalii 40 wakamatwa kwa kuombaomba mitaani

    Kamanda wa Polisi wa Kaunti Ndogo ya Mvita Maxwell Agoro akizungumza na mmoja wa raia 40 wa Jordan waliokamatwa. Picha: Kwa hisani Polisi wa Mombasa Nchini Kenya wanawashikilia watalii 40 raia wa Jordan baada ya kukutwa wakiombaomba katika Mitaa ya Old Town na Marikiti ili wakusanye fedha ya...
  20. Lady Whistledown

    Senegal: Wahudumu 3 wa afya wakamatwa kwa uzembe baada ya kifo cha mama na mtoto wakati wa kujifungua

    Daktari wa magonjwa ya wanawake, daktari wa ganzi na muuguzi wa wa hospitali ya Kedougou wanashikiliwa kwa mahojiano kutokana na tuhuma za uzembe katika upasuaji uliosababisha kifo cha mjamzito na mwanae baada ya kudaiwa kupoteza damu nyingi Chama cha Madaktari wa Wanawake na Madaktari wa Uzazi...
Back
Top Bottom