Waziri wa ujenzi, Innocent Bashungwa amemtaka Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara nchini (TANROADS), kuhakikisha kuwa Wakandarasi wasumbufu na wababaishaji hawapewi kazi za ujenzi wa barabara nchini kote.
Akizungumza alipokagua Barabara ya Handeni - Mafuleta yenye kilometa 20, Bashungwa amesema...