Kazi imeiva katika mkoa wa DSM baada ya TARURA kuingia mkataba na wakandarasi wazawa kujenga barabara katika maeneo mbalimbali ya Mkoa wa DSM. Billioni 14 tayari zimemwagwa.
Sasa tunataka kazi zionekane, wakandarasi wazawa pigeni kazi muache visingizio, kazi mmepewa hela mmepewa sasa ole wenu...
Kandarasi nyingi hasa za barabara zinafanywa chini ya viwango na wakati mwingine hawana hata vifaaa kwa ajili ya kazi.
Hii imepelekea adha na Usumbufu kwa watumiaji wa barabara hizi zinazofanyiwa ukabarati. Mfano kipande cha barabara kutoka Mabibo Mwisho hadi makutano na Morogoro Road...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.