Kazi imeiva katika mkoa wa DSM baada ya TARURA kuingia mkataba na wakandarasi wazawa kujenga barabara katika maeneo mbalimbali ya Mkoa wa DSM. Billioni 14 tayari zimemwagwa.
Sasa tunataka kazi zionekane, wakandarasi wazawa pigeni kazi muache visingizio, kazi mmepewa hela mmepewa sasa ole wenu...