Mbunge wa Jimbo la Korogwe Vijijini, Mkoani Tanga, Timotheo Mnzava, amemwagiza Mganga Mkuu wa Wilaya hiyo kuchukua hatua kali dhidi ya watumishi wa Kituo cha Afya Magoma wanaodaiwa kuwalipisha wajawazito shilingi 200,000 kwa ajili ya upasuaji wakati wa kujifungua, kinyume na maelekezo ya...