wakati wa kujifungua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mzee Mwanakijiji

    JamiiForums Tanzania Wizi wa Watoto Wakati wa Kujifungua Hospitali Zetu Kubwa

    Kuna mtandao mkubwa unaohusisha madaktari, wauguzi na watendaji kwenye baadhi ya mahospitali yetu ambapo mabinti au wamama wadogo wanaporwa watoto kwa janja ya changamoto za wakati wa kujifungua... Biashara hii inahusisha hata baadhi ya watu wa usalama kulinda "wafanyabiashara" hao haramu wa...
  2. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania GE2025 Samia: Hakuna mwanamke anayepaswa kufariki wakati wa kujifungua

    Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan, amesema dhamira ya serikali ya awamu ya sita ni kuhakikisha akina mama wanajifungua salama bila kupoteza maisha, akisisitiza kuwa kuleta maisha mapya isiwe sababu ya kifo cha mama...
  3. Khanji kapoor

    JamiiForums Tanzania Picha: Anachopitia mke wako wakati wa kujifungua

    Wakati mke wako akiwa mjamzto hukumbana na changamoto nyingi na maumivu makali ila maumivu makali zaidi ni wakati wa Kuangalia njia na kusafishwa uchafu baada ya kujifungua. Hapo lazima mkono wa mtaalam uingie wote. Ndio maana hawa viumbe wanapojifungua huwa km akili hazipo sawa.
  4. D

    JamiiForums Tanzania Ukibadilishiwa mtoto wakati wa kujifungua usipige kelele fanya hivi ili kupata haki yako

    Kwanza kabisa wakati wa kujifungua kama una nafasi jitahidi kwenda kujifungulia hospital unayoiamini! Baada ya kujifungua mtoto ukigundua umebadilishiwa mtoto usipaniki! Ongea na ndugu zako mjipange kwa ajili ya kupata haki kimya kimya pasipo makelele wala makamera! Hospital ikishindwa...
  5. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Singida: Wanawake wanachota maji kwenda nayo Zahanati wakati wa kujifungua katika Kijiji cha Dominiki

    Wanawake katika Kijiji cha Dominiki, Kata ya Mwangeza, Wilaya ya Mkalama Mkoani Singida wamedai wanalazimika kuchota maji dumu 6 hadi 12 ambayo watauatumia wakati wa kupata huduma ikiwemo Huduma ya matibabu katika Zahanati ya Domoniki inayopatikana kwenye kata hiyo. Wakizungumza kwa nyakati...
  6. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mnzava auwasha moto Wajawazito kutozwa fedha Hospitali, aagiza hatua kali

    Mbunge wa Jimbo la Korogwe Vijijini, Mkoani Tanga, Timotheo Mnzava, amemwagiza Mganga Mkuu wa Wilaya hiyo kuchukua hatua kali dhidi ya watumishi wa Kituo cha Afya Magoma wanaodaiwa kuwalipisha wajawazito shilingi 200,000 kwa ajili ya upasuaji wakati wa kujifungua, kinyume na maelekezo ya...
Back
Top Bottom