Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 34,256
- 44,597
Kuna mtandao mkubwa unaohusisha madaktari, wauguzi na watendaji kwenye baadhi ya mahospitali yetu ambapo mabinti au wamama wadogo wanaporwa watoto kwa janja ya changamoto za wakati wa kujifungua...
Biashara hii inahusisha hata baadhi ya watu wa usalama kulinda "wafanyabiashara" hao haramu wa watoto.
Nimedokezwa visa vya baadhi ya hospitali zetu hasa pale ambapo hakuna ndugu wa karibu kufuatilia. Baadhi ya mbinu inayotumika sana ni kuagiza kufanyika kwa C section kwa wazazi ambao wangeweza kujifungua kwa kawaida...
Nini kifanyike, nani ashughulikiwe..wizara inasemaje....