Nakfa
JF-Expert Member
- Oct 1, 2017
- 12,104
- 16,477
Waziri anaingia JF kwa kutumia VPN? naona yupo humu mara nyingi tuCc Dkt. Gwajima D aione kwenye jalada
Waziri anaingia JF kwa kutumia VPN? naona yupo humu mara nyingi tuCc Dkt. Gwajima D aione kwenye jalada
Hilo swali lilishashindikana kupatiwa majawabu!
Oh okay ,it makes sense.Sio mwanaume, ila ni majirani na jamii, mtu na mkewe ndo huwa wanapanga hii njama, baada ya kujua kuwa hawana uwezo wa kupata mtoto, na ku adopt hawataki, ndo wanaamua kucheza huu mchezo.
Umekuwa too brief. C section ina facilitate vipi wizi? Weka wazi mbinu chafu wanazotumia.
Solution is simple: ndugu wa mzazi wawepo anapojifungua, waruhusiwe kuwa kwenye chumba cha uzazi! Is this possible?
Hivyoo yaani.Oh okay ,it makes sense.