wakazi wa kigamboni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. KERO TAMESA angalieni wakazi wa Kigamboni kwa huruma. Kivuko kinakaa upande mmoja 1hour?

    Tamesa tafadhari waangalieni wakazi wa kigamboni Kwa jicho la huruma, Nao pia ni watanzania. Kivuko kinakaa upande mmoja 1hour? Tumeingia kwenye kivuko saa sita Kamili mpaka saa saba kivuko hakijatoka hii ni haki kweli? Mpaka watu wanalala wanasinzia wanaliwa na mbu na wadudu wa Bahari...
  2. KERO Kwa hali hii ya sasa najuta kukaa Kigamboni

    Hapa ndani kuna umati wa watu wanasubiri kuvuka na boti ndio moja na zile ndogo. Hivi kwanini hapa wasipewe tu wawekezaji, jamani Kigamboni tunateseka sana.
  3. N

    Wakazi wa Kigamboni wafurahia vyakula vya asili kampeni ya Kitaa Food Fest

    Wakazi wa Kigamboni siku ya Jumapili waliweza kufurahia ladha za vyakula mbalimbali vya asili kupitia kampeni ya ‘Coca-Cola Kitaa Food Fest’ ambayo iliyofanyika Geza Ulole wilaya ya Kigamboni. Kampeni hiyo inalenga kuenzi vyakula vya asili na kuimarisha mshikamano wa kijamii huku ikikuza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…