KERO Changamoto ya N-CARD kwa wakazi wa Kigamboni

KERO Changamoto ya N-CARD kwa wakazi wa Kigamboni

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Wakazi wa kigamboni tuna changa moto juu ya card za N-CARD, card hizo tumekua tukiweka hela na kuisha tofauti na kiasi ulichoweka, pesa inaenda wapi ?

Na kwanini ukiacha Card kwa muda ukija kutumia inasema haina salio hata kama uliacha salio,nani anayetumia hizo pesa? Kwani ni card hizo hazioneshi salio linalobaki kama zilivyo card za mwendokasi?
 
Back
Top Bottom