Habari wakuu,
Katika Pitapita zangu Juzi nilibahatika kupita Jiji la Mwanza baada ya miaka mingi kupita, Ni wazi kwamba niliwahi kuishi Mwanza miaka kadhaa nyumba baada ya kutoka mkoani, Kusema kwel kwa Umri ule na kipindi kile kwa kuwa nilikuwa sielewi lolote kuhusu Jiji nilitokea kupapenda...