wakazi wa mwanza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. ngara23

    JamiiForums Tanzania Tanesco mnatuhujumu wakazi wa Mwanza na Kanda ya ziwa Kwa ujumla

    Tanesco mnafanya nini ofsini Sisi watu wa Mwanza na Kanda ziwa tumewakosea nini awamu hii Leo siku ya 3 mnakata umeme alfajiri mnarudisha umeme saa 4 usiku Hivi mnajua mnauwa uchumi kiasi Gani wa vijana waliojiri kupitia huduma hii ya umeme Vijana wa welding, saloon, aluminium...
  2. T

    JamiiForums Tanzania KERO MWAUWASA imewaangusha wakazi wa Mwanza tatizo la maji limegeuka fedheha ya kudumu

    Kile kinachoendelea Mwanza si hitilafu ya kawaida, bali ni aibu ya wazi, uzembe wa makusudi na kutowajibika kwa kiwango cha juu kabisa kutoka MWAUWASA. Mwezi mzima uliopita Nyegezi haikuwa na tone la maji. Hakuna taarifa, hakuna maelezo, hakuna uwajibikaji—mpaka wananchi walipopiga kelele ndipo...
  3. P

    JamiiForums Tanzania Kwa wakazi wa mwanza nauza kabati la chipsi laki mbili tu

  4. Red shadow

    JamiiForums Tanzania Watu wa Mwanza, ujasiri wa kuishi na ng'ombe mjini huwa mnautoa wapi?

    Wakuu hapa unapoona ni jiji Mwanza! Yaan Mwanza jiji mtu anaishi na mang’ombe nyumbani. Mtaani yaan ukipta hapo furu kunuka.
  5. incredible terminator

    JamiiForums Tanzania Mwanza: Jiji lenye wakazi Duni na mpangilio wa ovyo wa makazi Tanzania

    Habari wakuu, Katika Pitapita zangu Juzi nilibahatika kupita Jiji la Mwanza baada ya miaka mingi kupita, Ni wazi kwamba niliwahi kuishi Mwanza miaka kadhaa nyumba baada ya kutoka mkoani, Kusema kwel kwa Umri ule na kipindi kile kwa kuwa nilikuwa sielewi lolote kuhusu Jiji nilitokea kupapenda...
Back
Top Bottom