ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 16,871
- 39,881
Tanesco mnafanya nini ofsini
Sisi watu wa Mwanza na Kanda ziwa tumewakosea nini awamu hii
Leo siku ya 3 mnakata umeme alfajiri mnarudisha umeme saa 4 usiku
Hivi mnajua mnauwa uchumi kiasi Gani wa vijana waliojiri kupitia huduma hii ya umeme
Vijana wa welding, saloon, aluminium, wafanyabiasha wa samaki mnawapa hasara mno
Kama Kuna mgao semeni ukweli
Acheni kusingizia ukarabati
Tanesco tuambieni mna chuki na sisi watu wa Kanda ziwa mnakata umeme Kanda ya ziwa ili mpeleke Zanzibar
RIP JPM