Hii tabia ya wake za watu kukutana vijana na kukana kua hawajaolewa sio vzuri, nyie wanawake mna matatizo gani, Binafisi mimi siwezi kulala na mke wa mtu kama najua kaolewa ata uwe mrembo kiasi gani.
Juzi kati nilikutana na pisi ina namba 8 maeneo ya posta, akanihakikishia anakaa peke yake, na...