Teknolojia imekuja na mambo mengi. Sasa hivi kila mwanamama anataka amiliki simujanja. Na akishamiliki simujanja basi anajiona ana kila kitu.
Siku hizi wamebakiza kupakua picha za ngono na kutupana wassapu huku wakijifunza uchafu. Wameharibia kabisa.
Habari za Leo wana Jf wenzangu,
Mimi sio mgeni humu. ndani,Nina ID ninayoitumia tangu mwaka 2013 ila kutokana na kitu ninachotaka kukiandika humu basi nimelazimika kufungua ID mpya kabisa.
Nimezaliwa miaka 40 iliyopita ktk moja ya wilaya zilizopo kaskazini ya Tanzania, ni mtoto wa 4 kuzaliwa...
Kumekuwa na wimbi kubwa sana siku hizi kuhusu wake za watu kutongoza vijana. Mara nyingi mimi kama kijana nakumbana na hii kadhia mara nyingi sana, na hasa hasa kutoka mitandao ya kijamii na mitaani pia.
Unakuta mmama mtu mzima anamtongoza kijana bila hata ya hofu na aibu, mama kimtazamo...
Mambo yasiwe mengi, na mengi yasiwe mambo.
Carlos The Jackal nasemaje, wewe kama una mke yaani umeoa, halafu unajua kabisa mkeo kazi yake ya kawaida tu, nasio kwamba wee mwanaume una pesa kivile halafu ana Jihusisha sijui na vikundi yaaan ana vikundi/vikoba/Visheti vingiiiii ila Hela yake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.