Jaman, baadhi ya wanawake walioolewa wanajisahau sana. Unakuta mchafu, ananuka jasho, haogi kwa wakati, hata kufua kwake ni mtihani. Kuna hawa wake za watu walioajiriwa, jamani, hata kama mmeajiriwa, jitahidini kuwajali waume zenu. Wanatoka home rafu sana. Kuna mkaka namjua ameoa, na ndoa yake...