wake

In fluid dynamics, a wake may either be:

the region of recirculating flow immediately behind a moving or stationary blunt body, caused by viscosity, which may be accompanied by flow separation and turbulence, or
the wave pattern on the water surface downstream of an object in a flow, or produced by a moving object (e.g. a ship), caused by density differences of the fluids above and below the free surface and gravity (or surface tension).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Korea Kaskazini imesema itatuma wanajeshi wake nchini Ukraine kuisaidia Urusi

    Wanaukumbi. 🇰🇵 🇷🇺 Korea Kaskazini kutuma wanajeshi Ukraine kupigana pamoja na Urusi. Mkataba wa ulinzi uliotiwa saini kati ya Urusi na Korea Kaskazini mnamo Juni 19, 2024, unajumuisha kifungu cha usaidizi wa kijeshi wa pande zote katika tukio la vita. Muda mfupi baada ya mkataba huo kutiwa...
  2. JamiiForums Tanzania Shetani pacha wake pesa na warembo

    Shalom, Ukubali ukatae penye pesa shetani yupona penye warembo shetani katulia, sasa utaamua wewe na tafakari yako wewe upo wapi na shetani wako umekaa nae wapi. Ni kwa uchache naomba iwafikie Wadiz
  3. D

    JamiiForums Tanzania Legendari Magic Johnson akiwa na Binti yake na Kijana wake!

    Aisee!
  4. M

    JamiiForums Tanzania Helicopter ya CHADEMA Imeisha muda wake kutumika

    Katika pita pita zangu mtandaoni nimeona comments ya mdau katika post ya Lema inasomeka hivi. Mangi naomba kukumbusha usajili wa hii chopa umeshaexpire. Fanyeni renewal yasije kutokea majanga mkalaumu watu. Halafu hii chopa ilipata usajili kubeba wagonjwa. Mmebadili? Then kwa nini kila biashara...
  5. JamiiForums Tanzania Ajali ilyoua RAS wa Kilimanjaro na Dereva wake: Kwanini serikali inamlilia RAS tu je Dereva hakuwa mtumishi wake?

    Toka ajali iliyosababisha vifo vya Katibu Tawala - RAS wa mkoa wa Kilimanjaro na Dereva wake tumeshuhudia ubaguzi mkubwa unaoganywa na serikali kwenye misiba hii. Tumeshuhudia na tunaendelea kushuhudia serikali nzima ikiomboleza na kutumia nguvu kubwa kushughulika na Kifo cha RAS ikimpamba kwa...
  6. JamiiForums Tanzania Taifa ambalo Watu wake wanajivunia mambo ya kijinga kwa kisingizio cha kupata kipato ni taifa la wapumbavu

    TAIFA AMBALO WATU WAKE WANAJIVUNIA MAMBO YA KIJINGA KWA KISINGIZIO CHA KUPATA KIPATO NI TAIFA LA WAPUMBAVU. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Nyerere Kwa maoni yake alisema taifa lina maadui watatu ambao ni Ujinga, umaskini na maradhi lakini adui ambaye alitaka Watu wapambane naye zaidi ni...
  7. JamiiForums Tanzania Mataifa ya waarabu yaanza kuagiza raia wake waondoke Lebanon, huku Israel ikianza maandalizi ya kuifanya Lebanon iwe kama Gaza

    Lebanon iliachia nchi yake itumike na magaidi wa kiislamu, sasa leo hii inapotaka kufanywa kama Gaza, waarabu wanaihama badala ya kubaki wapambane dhidi ya Israel. ================== The Kuwaiti Foreign Affairs Ministry has called on its citizens who are currently in Lebanon to leave the...
  8. JamiiForums Tanzania Ameota anafanya mapenzi na boss wake wa kike. Je, ina tafsiri gani?

    Shalom, Naripoti toka Dodoma City Kisa kiko hivi huyu msela wangu ni mtu smart, mpole, na mwelevu kiasi, elimu yake ya kawaida, hana maneno mengi, anaishi maisha ya kawaida kabisa. Anasilimulia kuwa ana boss wa kike ofisni na yupo ngazi ya juu kidogo kwa maana sio boss wake wa uwajibikaji wa...
  9. JamiiForums Tanzania Netanyahu baada ya kukimbiwa na washirika wake aanza kuropoka. Asema anachotaka ni silaha tu

    Kuna kitu kimeanza kumtokea Benjamin Netanyahu ambacho hata washirika wake wameanza kupata mashaka. Msemaji wa masuala ya kiulinzi wa taifa wa Marekani ,John Kirby amesema hata haelewi Netanyahu anazungumza nini. Hiyo inafuatia baada ya matamshi mengine ya waziri mkuu wa Israel,hapo jana kuwa...
  10. JamiiForums Tanzania Nampongeza Spika Tulia Akson kwa msimamo wake dhid ya wabaya wa Bashe. Tuliona huko nyuma Lowassa akisungiziwa kwa maneno kama ya Mpina

    Life goes on wakuu, mwaka 2008 aliyekuwa waziri mkuu wa Tanzania Edward Lowassa aliundiwa zengwe lililopelekea kujihuzuru kwake. Alichokifanya Lowassa lilikuwa ni jambo jema lakini lililopelekea watanzania kukosa huduma ya kiongozi jasiri na shupavu. Kimsingi matatizo yote yanayotukabiri Leo...
  11. O

    JamiiForums Tanzania Aliyemuua mtoto wake kwa kutofanana naye ahukumiwa kunyongwa

    https://www.mwananchi.co.tz/mw/habari/kitaifa/aliyemuua-mtoto-wake-kwa-kutofanana-naye-ahukumiwa-kunyongwa-4663540 Credit: Mwananchi
  12. JamiiForums Tanzania Jinsi Radio Free Afrika ilivyoyumba na kupoteza ubora kutokana na Mmiliki wake kuitumia Kisiasa

    Ukizungumzia miongoni mwa vyombo vya Habari ambavyo vina uwekezaji mkubwa kwenye miundombinu naamini RFA kutoka Sahara Media itakuwa namba 1 kabisa. Radio hii imewahi kuwa na Watangazaji bora kuwahi kutokea na waliokuja kubadili kabisa sekta ya Utangazaji nchini. Lakini Radio Free Afrika...
  13. JamiiForums Tanzania Tetesi: Chini ya zulia waziri wa sukari alalamika kwa watu wa karibu waziri wa zamani wa misitu mapori na wanyama ndio mchawi wake!

    Hizi ni za ndaaani sana waziri wa sukari amewambia watu wake wa karibu waziri wa zamani wa mambo ya misitu mapori na wanyama ndie mchawi mkuu anaepita huko na huko kutafuta nyaraka na kumkabidhi mbunge kumsagia kunguni hili sakata limeshika kasi na limefika magogoni tusikilize litakalojiri!
  14. L

    JamiiForums Tanzania Je Marekani itabadili mtazamo wake baada ya mazungumzo ya ngazi ya juu kuhusu akili bandia kati ya Marekani na China

    Matumizi ya Akili Bandia (AI) yanatarajiwa kuwa sehemu muhimu ya nguvu za kiuchumi na kijeshi duniani katika siku za usoni. Ushindani wa matumizi haya ya teknolojia umeifanya Marekani ianze kudhibiti mauzo ya nje kwenye chip za hali ya juu, na kuiondolea uwezo China wa kupata chip za hali ya juu...
  15. JamiiForums Tanzania Mangungu alikuwa sahihi kukataa kujiuzulu, mhindi alitaka kufanya maigizo ya kuwaondoa wajumbe wake kisha kurudisha wale wale!

    Mangungu ni Kama alishtukia kamchezo ka mhindi wa Bombay alikotaka kukafanya ili na yeye akae pembeni afanikishe jambo lake lakini mtoto wa mjini akausoma mchezo kwa umakini na kuupangua! Bwana kanjibhai karudisha wajumbe wa bodi wale wale kina try again Sasa unajiuliza kulikuwa na haja Gani ya...
  16. I

    JamiiForums Tanzania Tajiri Bill Gates alivyolea watoto wake ni mfano mzuri wa kuigwa na sisi waafrika wa rika mbalimbali za maisha.

    Ukiangalia namna hawa matajiri wa kizungu wanavyolea watoto wao utagundua ni kwa nini hata hao wazazi wao wanadumu na hizo mali. Na Bill Gates anasema atawapatia watoto wake watatu wakike wawili na wa kiume moja dola milioni 10 tu kila moja ili wachakarike nazo kwani kuwapatia hela nyingi sio...
  17. JamiiForums Tanzania Ukubwa wa club sio mwaka wa uanzishwaji bali ni ukubwa na ubora wake katika bara lake

    Hapo vip! Ukubwa wa club yeyote Dunia sio kuwa ya kwanza kuanzisha bali ni ukubwa na ubora wake katika bara lake na nchi yake...tukiangalia kigezo cha uwazishwaji hata huku mtaani kuna timu nyingi za shuleni na vijijini vilianzishwa kabla ya yanga basi tungesema hizo ndio timu kubwa,mfano...
  18. JamiiForums Tanzania Unamjua Mfanyakazi wa ndani (Jane 36) huko Marekani aliyeiba manii ya boss wake kwenye pipa la taka na kujipandikizia mimba na kudai huduma za mtoto?

    Mungu amewaumba wanawake kutokana na sisi na inapaswa kuishi nao kwa makini sana kwani wao ni wepesi kushawishika ingawaje wanaakili nyingi Huko marekani katika viunga vya Los angels mwanadada Jane 36 aliyejipatia utajiri kwa kuiba manii ya boss kutoka kwenye pipa la taka na kujipandikizia...
  19. JamiiForums Tanzania Kuna ubaya kuuza nyumba ya urithi ili hali marehemu enzi za uhai wake alikataa

    Wenye experience na mali za urithi tunaomba uzoefu wenu kwa vile watoto wa marehemu hali zao za kimaisha sio nzuri wanahitaji kujikwamua kiuchumi je wakiuza nyumba na Kila mtu akichukua stahiki yake ili kujiendeleza Kuna ubaya
  20. V

    JamiiForums Tanzania CHADEMA mheshimuni Mbowe pamoja na udhaifu wake

    Msimtukane Mbowe Mzee Mbowe ameifanyia makubwa chadema Mbowe anamadhaifu mengi tu ila karba yake uko kwenu chadema sioni kiongozi anayemkaribia Mbowe hata nusu. Wengi wanalilia uenyekiti chadema lkn wakipewa uenyekiti chadema haichukui mwaka inasambaratika Hamuoni zito alilia uenyekiti wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…