Ishowspeed huyu kijana leo yupo kenya na mfahamu huyu kijana ana wafuwasi wengi duniani kwenye mitandao ya kijamii.
Ishowspeed anaonyeshwa jinsi kenya ilivyo ,kuhusu wanyama,chakula,maisha na mji wa Nairobi ulivyo.
Ingekuwa kwetu huyu jamaa ungeshangaa kafikishwa ofisi za basata ,huku TCRA...