Wakenya wanajua kuonyesha utalii na kutangaza kwa mapokezi ya ishowspeed Hongereni

Wakenya wanajua kuonyesha utalii na kutangaza kwa mapokezi ya ishowspeed Hongereni

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,420
Ishowspeed huyu kijana leo yupo kenya na mfahamu huyu kijana ana wafuwasi wengi duniani kwenye mitandao ya kijamii.

Ishowspeed anaonyeshwa jinsi kenya ilivyo ,kuhusu wanyama,chakula,maisha na mji wa Nairobi ulivyo.

Ingekuwa kwetu huyu jamaa ungeshangaa kafikishwa ofisi za basata ,huku TCRA wakimsubiri na drone zake.

Ishowspeed angefika tanzania wanaccm wote wangejitokeza utazani wanajua ni mwenyekiti wao.

Bora ujafika tanzania.Maana wema sepetu angejifanya anakujua sana.
 
Kwanini watanzania mnakuwa mnajidharau wenyewe.

Kuhusu kutangaza utalii sisi tuna
Royal tour ,kuwa na Amani Tanzania inafahamika kimataifa
Kwa ni we nani hapa tanzania mwenye yako.Hata waliokufa mo29 wanasema tufute yaliyopita tugange yajao.Hivi mwenye akili unaweza kufanya unyama ukaona kama ujafanya.

Utalii gani ambao vyote vimeuzwa.
 
Back
Top Bottom