wakili mwabukusi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Wakili Mwabukusi siasa zinakuvunjia heshima TLS kama marais wa TLS wamekutana mbona Wakili Edward Hossea hakuwepo?

    Mtu yeyote mwenye akili anajua kikao cha marais wa zamani wa TLS cha kujadiili haki za uchaguzi ni kikao cha Chadema tu, hakuna lingine. Kama marais wa zamani mbona wakili Edward Hossea hakuwepo?
  2. Wakili Mwabukusi: Tundu Lissu sio malaika lakini yeye ndio chaguo sahihi kwa CHADEMA

    Wakuu, Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) Wakili Boniface Mwabukusi akieleza matamanio yake ya kuona Wakili Tundu Lissu akiibuka kidedea dhidi ya mshindani wake wa karibu Freeman Mbowe kwenye mchakato wa ndani wa uchaguzi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) unaoendelea
  3. Pre GE2025 Wakili Mwabukusi: Nataka kufungua kesi hivi vyama 14 vya upinzani vifutwe. Vyama ambavyo sio serious viondoke!

    Wakuu, Siku ya jana akiwa anazungumza kwenye mdahalo ulioandaliwa na Jamii Forums pamoja na Star TV, Wakili Boniface Mwabukusi amedokeza kuwa yuko mbioni kufungua kesi dhidi ya vyama 14 vya upinzani nchini Akiwa anazungumza mbele ya Chief Odemba wa Star TV, Mwabukusi alisema kuwa atafungua...
  4. Wakili Mwabukusi: Kuna watu wanapotosha kuwa ardhi ya Tanzania inamilikiwa na Rais na akitaka anakuondoa muda wowote

    Wakuu, Nadhani ushawahi kusikia ile notion ya kwamba ardhi ya Tanzania yote inamilikiwa na Rais na kwamba Rais akitaka anaweza kukuondoa muda wowote. Akiwa anazungumza siku ya jana kwenye mdahalo ambao uliandaliwa na Jamii Forums pamoja na Star TV, Wakili Mwabukusi alisema kuwa huo ni...
  5. Jeshi la Polisi la Polisi lamjibu Wakili Mwabukusi na wanaharakati kuhusu mamlaka waliyonayo katika kuzuia maandamano

    Baada ya kuwepo kwa malalamiko na mashauri mengi kuhusu uhalali wa Jeshi La Polisi Tanzania kuzuia maandamano nchini hatimaye Jeshi hilo limeamua kutoa ufafanuzi kuhusu sakata hilo. Tamko hili la Jeshi La Polisi linakuja siku chache tangu Kamanda wa Polisi kanda maalum ya Dar Es Salaam, Jumanne...
  6. Wakili Mwabukusi: Nguvu iliyotumika na Polisi kuzuia Maandamano ingetumia kuwatafuta waliotekwa

    Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika, Wakili Boniface Mwabukusi, amesema kwa mujibu wa Sheria ya Vyama vya Siasa, Jeshi la Polisi halipaswi kuingilia michakato ya Kidemokrasia isipokuwa tu kwa agizo la Msajili wa Vyama vya Siasa
  7. Wakili Mwabukusi: Bunge halitakiwi kukwepa hoja ya utekaji

    Rais wa Chama cha Mawakili Tanzania (TLS), Boniface Mwabukusi amesema Bunge lina wajibu wa kuruhusu mjadala wa suala la utekaji kujadiliwa ndani ya Bunge bila kujali kuna mambo ya kiufundi ambayo yanakwamisha hilo, amezungumza hayo wakati anahojiwa na Kituo cha Crown FM.
  8. Wakili Mwabukusi: Aliyesababisha Binti wa Yombo Kubakwa na Kulawitiwa naye Afikishwe Mahakamani

    https://youtu.be/m9WGFYVzCvU Fuatilia yatakayojiri kwenye mkutano wa Rais wa TLS, Boniface Mwabukusi kwenye mkutano wake na waandishi wa habari, leo saa 4:00 asubuhi. Mwabukusi anazunguzia suala la wamasai kuondolewa kwenye eneo lao kwa nguvu, na serikali imeondoa huduma zote za msingi kwao...
  9. Mlioko karibu na wakili Mwabukusi asiogope "kutikisa m'buyu"

    Kutokana na IQ yake kubwa, ujasiri, uzalendo, misimamo, elimu yake, asiogope kugombania nafasi hiyo kubwa kabisa nchini. anafaa. Wananchi tunamhitaji mtu wa hivyo. naomba kuwasilisha
  10. M

    Picha: Wakili Mwabukusi azawadiwa kuku.

  11. Mahakama yaridhia Wakili Mwabukusi afungue kesi ya kupinga kuenguliwa kuwania Urais TLS

    Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, imemruhusu wakili Boniface Mwabukusi kufungua shauri la marejeo ya uamuzi uliomwengua kwenye orodha ya wagombea urais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS). Hata hivyo, imekataa ombi la kusimamisha mchakato wa uchaguzi huo ambao sasa utaendelea kama...
  12. Kamati ya Rufaa ya Uchaguzi imemuengua Boniface Mwabukusi kugombea nafasi ya Rais wa TLS

    Kamati ya Rufaa ya Uchaguzi imemuengua Boniface Mwabukusi kugombea nafasi ya Rais wa TLS katika Uchaguzi Mkuu wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika kwa mwaka 2024 Wanadai hana sifa ya kugombea urais wa chama cha mawakili tanganyika. Mashauriano yanaendelea baada ya maamuzi husika. PIA SOMA -...
  13. B

    Wakili Mwabukusi apewa onyo na kamati ya Mawakili ya Maadili 'Hatutakiwi Kuogopa'

    Wakili Msomi Boniface Anyisile Kajunjumele Mwabukusi leo amepewa,adhabu ya onyo iliyotolewa na kamati ya maadili na nidhamu https://m.youtube.com/watch?v=gQKBmG0mSns Wakili Boniface Mwabukusi amebainisha hayo leo tarehe 17 Mei 2024, kimsingi kamati wamekubaliana ilikuwa ni professional...
  14. Pre GE2025 Wakili Mwabukusi: Mwaka 2020 nilikamata masanduku manne ya kura bandia za Rais

    Fuatilia yanayojiri kwenye mkutano wa waandishi wa Habari wa Dkt. Slaa, Mdude na Wakili Mwabukusi. https://www.youtube.com/watch?v=rm8wI2pHQ4s Mabadiliko ya Sheria yanayotaka kufanyika yanapasaswa kuendana na mabadiliko ya katiba. Huwezi kujenga. Tunashauri kwamba katiba ibadilishwe, tazama...
  15. J

    Wakili Mwabukusi: Wapinzani hawana afadhali yoyote na CCM, ni wabaya kuliko hata CCM

    HAKUNA TOFAUTI KATI YA CCM NA WAPINZANI, NI WALEWALE" MWABUKUSI Upinzani na CCM hawana tofauti, kitendo cha kutaka kuingia kwenye uchaguzi bila katiba mpya ni kwa sababu ya maslahi binafsi na sio maslahi ya Taifa, ndio maana kuna chawa wa chama tawala na huku upinzani nako kuna machawa huku...
  16. UWT kumsaidia kukata Rufaa Maria aliyehukumiwa miaka 22 jela kwa kukutwa na nyama ya swala

    Siku moja baada ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Iringa kumuhukumu kifungo cha miaka 22 Jela, Maria Ngoda Mkazi wa Mtaa wa Zizi la ng'ombe, Manispaa na Mkoa wa Iringa baada ya kumkuta na hatia ya kukutwa na ndoo yenye vipande 12 vya nyama ya swala kinyume na sheria, Kamati ya Utekelezaji ya...
  17. B

    Kufanana kwa Wanaowanyanyapaa kina Mwabukusi na visa vya Yesu

    Kina Mwabukusi na wenzake wametokea na inayoaminika kuwa ni agenda muarobaini wa matatizo yetu ya muda mrefu kama nchi: "Kupambana na maadui zetu kwa vitendo." Haipo siri kuwa hii itatuvusha, na hatimaye ushindi ni dhahiri. "Kwani ni lini maneno matupu hata yalipata kuvunja mfupa?" Ajabu na...
  18. Ushauri kwa Wakili Mwabukusi kuelekea maandamano ya kitaifa

    Salaam wana jukwaa, nimekutana na interview ya Wakili Mwabukusi na Maria Sarungi probably kutoka Maria spaces/clubhouse. Cha kushangaza Wakili msomi alikua busy kushambulia wapinzani kuwa ni wawaza ubunge, wapenda vyeo n.k. Hivi kweli hajui struggle za lissu hadi kumwagiwa risasi, hajui mbowe...
  19. Wakili Mwabukusi nakukubali sana, ila taniana na Wote lakini usitake Kuwazoea vibaya JWTZ na Usijidanganye ukaja Kujuta

    Waache wafanye Kazi yao na kwa Taarifa yako tu isingekuwa Ushujaa wait na Kulipambania Taifa hili kwa Uweledi Wao Uliotukuka ya Amboni Tanga na MKIRU Pwani yangeleta madhara na maafa makubwa nchini kiasi kwamba hata hizo Bia unazopenda Kunywa na hizo Nyama Choma zinazokunenepesha Mashavu yako...
  20. SI KWELI Wakili Mwabukusi na Mdude hawajulikani walipo, leo Agosti 28, 2023

    Masaa kadhaa yaliyopita baada ya Mdude kutoa taarifa za kufuatiliwa akiwa aa Wakili Mwabukusi Mkoani Arusha, kwa takribani lisaa sasa wote wawili hawapatikani kwenye simu zao na haijulikani walipo. Tumefanya Mawasiliano na Watu waliokuwa nao Mahakamani kucheki kituo vya Polisi Arusha kama wapo.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…