Wakuu,
Akihojiwa na waandishi wa habari siku chache baada ya kuachiliwa na polisi kwa dhamana, wakili Mwabukusi amenukuliwa akisema."
Nataka nimwambie wazi IGP hatukuogopi, upo hapo kikatiba na kisheria, ukitaka siasa vua magwanda,toka kwenye bunduki njoo jukwaani." Hoja zetu za kisiasa...
Wakizungumza leo, Agosti 21 baada ya kuripoti kituoni hapo, Mdude amesisitiza kuwa hawatarajii kurudi tena kituoni hapo hadi jeshi hilo litakapokamilisha upelelezi na kesi yao kwenda mahamakani akieleza kuwa wataendelea na shughuli zao ndani na nje ya Mkoa.
“Tumeambiwa kurudi tena Polisi Agosti...
Akizungumza na Waandishi wa Habari Jijini Mbeya, Wakili wa Mwabukusi, Mwakilima, amesema kwamba Maudhui yanayosambaa mtandaoni na kudaiwa kwamba ni ya Boniface Mwabukusi yamewekwa na Polisi wenyewe baada ya kudukua akaunti yake ya Instagram baada ya kumnyang'anya simu yake ya mkononi.
Taarifa...
Nimeona Rais akisema Serikali kutafuta mbia wa kuiendesha bandari ya Dar es Salaam ili kuleta ufanisi na kuongeza mapato.
Ni kweli tunahitaji mbia wa kuiendesha bandari ya Dar? Sisi wenyewe imeshindikana kabisa?
Tumewahi kufanya hivi kwenye reli, shirika la ndege lakini tunajua kilichotukuta...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.