Wakuu,
Kuna video za wahamiaji na vijana kutoka Palestina nimekutana nazo mtandaoni leo zimenipa maswali sana kuhusu hatma ya mgogoro huo unaendelea huko Middle East.
Kuna umbali wa takriban Km 12.5 kutoka Gaza mpaka kufika Egypt. Egypt na Palestina ni nchi zilizo karibu sana ni kama Kenya na...