HAKI KWA WOTE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2022
- 2,783
- 2,396
Kumekuwa na tabia ya viongozi hasa watendaji wa vijiji kuwakumbatia wakimbizi kutoka kongo na burundi na kupokea pesa kwaajili ya kuwahifadhi na hata kuwapatia vitambulisho vya kuoigia kura na uraia.
Rc wa kigoma fuatilia hili swala kwani askari wa jeshi la uhamiaji limekuwa likishirikiana na watendaji wa vijiji kupokea pesa na kuwaacha wakimbizi hao wakifanya kazi za vibarua bila vibali kitu ambacho ni hatari.
Nikiwa katika utalii wa ndani nimekutana na wakimbizi kibao ktk vijiji vya wilaya zote za mkoa wa kigoma nilikopita.
Jeshi la uhamiaji hamna kitu ikibidi lifutwe tu majukumu yao wakbidhiwe JWTZ wanaolinda mipaka ya nchi .