wakimbizi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Analogia Malenga

    Afrika Kusini yakataa kuwa mwenyeji wa wakimbizi wa Afghanistan

    Afrika Kusini imesema haiwezi kuchukua wakimbizi kutoka Afghanistan licha ya ombi. "Afrika Kusini tayari ni makazi ya idadi kubwa ya wakimbizi na imebanwa kushughulikia mahitaji yao," Idara ya Uhusiano wa Kimataifa ilisema katika taarifa yake. Ilisema ilikuwa imeombwa kuchukua wakimbizi ambao...
  2. SN.BARRY

    Marekani yawapiga changa la macho Uganda kuhusu wakimbizi wa Afghanistan

    Waliwaambia Uganda waandae makazi ya wakimbizi kutoka Afghanistan. Jamaa wakachangamkia fursa. Ila hadi leo ndege haijatua Uganda. Bunge la Uganda limemtaka Waziri Mkuu ajieleze walipo wageni wao, mbona hawafiki. Kinachowauma Waganda ni hela ambazo Marekani waliahidi katika kufanya zoezi hilo...
  3. MK254

    Baada ya Kagame kupeleka wanajeshi kuokoa Msumbiji, sasa apokea wakimbizi kutokea Libya

    Kagame anazidi kuonyesha Rwanda ndio giant wa kweli Afrika licha ya ukubwa wa nchi kuwa mithili ya mkoa, wanaopenda kujiita giants wanaendelea kukunja mikia kwa uwoga hata pamoja na kuchokozwa na magaidi mpaka kuchokonolewa kwa vidole.... =================== A new batch of 133 asylum seekers...
  4. Sam Gidori

    UNHCR: Tanzania imewanyima hifadhi wakimbizi wa Msumbiji

    Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi (UNHCR) limesema limesikitishwa na taarifa za wakimbizi wanaokimbia mapigano Kaskazini mwa Msumbiji kulazimishwa kurudi nchini kwao baada ya kuvuka mpaka kuingia Tanzania. UNHCR imesema imepokea shuhuda za maelfu ya wakimbizi waliorudishwa...
  5. Tony254

    Kambi za wakimbizi za Kakuma na Daadab zitafungwa mwaka ujao

    Serikali ya Kenya imeamua kwamba hizi refugee camps zitafungwa by June 2022. Hizi refugee camps zina watu takriban 500,000. Akina Ilhan Omar ambaye ni house representative wa Minneapolis, Minnesota na Wasomali wengine mashuhuri kama Halima ambaye ni supermodel wamepitia kwenye hizi refugee...
  6. SteveMollel

    Mkasa wa wakimbizi wa Sudan na Apeth (na mikasa mingine)

    Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Karibuni tena. Kwa tahadhima, ninaomba nijibu mahitaji ya watu juu ya mfululizo huu wa 'nyuzi' za visa vya filamu kwa kutuma uzi huu wa tisa sasa kwa mfululizo. Nakiri ni muda sasa lakini natumai hakuna kilichoharibika. Kwa 'weekend' hii...
  7. beth

    Maeneo ya kambi za wakimbizi kurejeshwa Serikalini

    Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani, Hamis Hamza amesema Serikali inaendelea na jitihada za kupunguza tatizo la wakimbizi Nchini kwa kuwarejesha makwao wakishirikiana na Jumuiya za Kimataifa na Nchi wanazotoka Akiwa Bungeni Dodoma, amesema "Baada ya Wakimbizi hao kuondoka maeneo yote ya kambi...
  8. 2019

    Asante Simbachawene kwa ufafanuzi kuhusu wakimbizi wa Msumbiji

    Kiukweli ni ngumu sana kuchambua kati ya mkimbizi na gaidi,nani anaweza kuwachambua? Msumbiji wilaya moja ndio ina magaidi kwanin wanamsumbiji wasikimbilie maeneo mengine ya nchi yao? Kuwakubali wakimbizi wa Msumbiji ni kukubali kuishi na 🐍 siku yoyote atakung'ata tu. Chanzo:Waziri wa mambo...
  9. Webabu

    Tanzania: Wakimbizi kutoka Msumbiji warudishwa kwa nguvu walikotoka

    Kuna taarifa kuwa wakimbizi kutoka Msumbiji wanaokimbia kile kinachoitwa wanamgambo wa Alshabaab wamerudishwa walikotoka ili wasiingie nchini. Tayari umoja wa maataifa umeilaumu Tanzania kwa hatua yake hiyo. Ukiachia lawama kutoka UN uamuzi wa Tanzania kuwarudisha wakimbizi hao ni jambo la...
  10. Tony254

    Kenya imekuwa kimbilio la Wakimbizi kwa muda mrefu

    Wale malazy wanaopenda kuropokwa kwamba Wakenya wana roho mbaya na kwamba hatusaidii majirani, nataka leo mtazame hapa muone jinsi nchi yetu ndio kimbilio la wakimbizi kutoka Sudan Kusini na Somalia. Kenya na Uganda ndio nchi zinazopokea wakimbizi wengi Africa. Watanzania nyie ndio mna roho...
  11. B

    UNCHR : Wakimbizi 110,000 warejea Burundi toka Tanzania

    Rais Evariste Ndayishimiye apokea ujumbe wa UNHCR uliofika kumuona Mwakilishi wa UNHCR Abdul Karim Ghoul ktk mazungumzo yake na Mh Rais Evariste Ndayishimiye amebainisha kuwa kutokana na utulivu Burundi shirika la Umoja wa Mataifa la Wakimbizi UNHCR wamefanikisha wakimbizi 110,000 kurejea...
  12. K

    Tumejiandaaje kuwapokea wakimbizi kutoka Uganda?

    Kulingana na hali ilivyo huko Uganda kwa sasa ni wazi kuwa yataibuka machafuko ya kutisha Mara baada ya uchaguzi kutokana na namna rais wao wa maisha Museven kuonesha kutokuwa tayari kabisa kuachia madaraka kwa njia za amani. Sasa swali ni je tumejiandaa kuwapokea mamia kama si maelfu ya...
  13. YEHODAYA

    Tanzania ijiandae kupokea wakimbizi toka Ulaya na Marekani wanaokimbia CORONA kuja kuishi kwetu kusiko na Corona

    Jana nilikuwa pale Forodhani Zanzibar nikakutana na wazungu wakihoji taratibu za kutafuta hifadhi nchini kwani kwao kuna Corona hawataki kurudi walikuwa kama kumi hivi wakasema pesa za kuishi wanazo. Na wameona Tanzania ndio mahali salama kwao na familia zao kuliko makwao. Serikali ijipange...
  14. Miss Zomboko

    Ethiopia yawarejesha wakimbizi waliokimbia mapigano ya Tigray

    Maelfu ya wakimbizi waliokimbia kwenye kambi zao katika jimbo la Tigray nchini Ethiopia, baada ya kambi zao kushambuliwa kwenye mapigano baina ya majeshi ya serikali na waasi wa kundi la TPLF, wameanza kurejeshwa, kwa mujibu wa serikali ya Ethiopia. Taarifa iliyotolewa leo inasema kuwa...
  15. B

    Kitendo cha Lema na Familia yake kupewa Asylum Canada kinaashiria Taifa limeanza kutengeneza wakimbizi wa kisiasa, jambo ambalo halina afya

    Upo umuhimu wa wasomi na wataalam wetu kuliangalia hili suala kwa macho mapana na kuishauri serikali. Tusione Canada wanatoa hifadhi kwa Watanzania tukakaa kimya, tujiulize tumefikaje hapa? Ikumbuke kwa mujibu wa sheria za kimataifa ukimbizi ni hadhi unayopata baada ya wataalam kukaa na...
  16. Pascal Mayalla

    The Economist na Mauongo Yao Kuihusu Tanzania: Waidanganya Dunia Tuna Torture Wakimbizi! Wanapata Faida Gani? Kwanini Tunanyamazia Uongo Huu?

    Wanabodi, Kila mara nasisitiza humu, uongo ukisemwa sana, na kuachwa kujirudia rudia bila kukanushwa, mwishowe uongo huo hugeuka ukweli. Na uongo ambao ni uongo mtupu, ukisemwa kuwa kitu fulani kitatokea, tusipo kanusha uongo huo, halafu hicho kitu kikaja kutokea kweli, then, kufuatia kuanuni...
  17. Kibosho1

    Wameru ni wakimbizi wa Kichaga

    Katika kabila lenye matabaka mengi Tanzania ni la Kichagga. Na lugha zinabadilika kulingana na eneo ndio mana unakuta ukianza Rombo mpaka Siha lafudhi ni tofauti japo tunasikilizana vizuri lakini huwezi kujibu kama ulivyosemeshwa. Katika kutaka kujua historia kidogo kwanini Wameru wanaongea...
  18. MK254

    Hiyo Tanzania ambayo akina Mandela walikuwa wanaikimbilia, leo ndio inazalisha wakimbizi wa kisiasa

    Kuna sehemu nilisoma kwamba Mandela aliwahi kuishi Morogoro kama mkimbizi wa kisiasa akiwakimbia makaburu, alipewa hifadhi na Nyerere. Bado wengi hatuamini taarifa za kwamba Lema ambaye mara moja moja huwa namfuatilia hoja zake zilizosheheni nondo kwenye bunge la Tz, yaani yuko hapa Kenya kama...
  19. Intelligence Justice

    Suala la baadhi ya viongozi wa kisiasa kutafuta hifadhi za ukimbizi ubalozini, mashirika ya wakimbizi ni "Cover Story"

    Wakuu, Limeibuka wimbi la baadhi ya viongozi wa kisiasa kukimbilia kwenye balozi zinazowakilisha nchi zao au mashirika ya ukimbizi kwa madai ya kuteswa (persecution). Kwa tafsiri ya jumla kwa kiingereza inaakisi yafuatayo: "...... is the act of harassing or oppressing a person or a group of...
  20. Miss Zomboko

    WFP: Wakimbizi wengi wa Msumbiji wanakimbilia Tanzania kutikana na mapigano kuongezeka

    Kaskazini mwa Msumbiji, mapigano yanaendelea na kuongezeka hali ambayo imelazimisha maelfu ya watu kutoroka makazi yao. Sasa hivi idadi kubwa ya raia hao wanakimbilia nchi jirani ya Tanzania kulingana na mkurugenzi wa Shirika la Chakula Duniani eneo la Kusini mwa Afrika alipozungumza na BBC...
Back
Top Bottom