Salamu wakubwa jaman nilikua na survey Kuna member since 2007 ndo natambaa sijui ila ivi mnajuaga kama Kuna watu wamepotea, au hatupo nao Tena ila muendelee kutupa madini nawaheshimu viongozi muendelee kuepo 💯.
Hodi hodi JF
Wakongwe tumeamua kurudi JF, vitoto vya 2000's mtupishe.
Ngoja niifufue na ID yangu ya wakati JF inaitwa Jambo forum.
Uzi tayari toka kwa wazee wenu wa JF. 😀😀😀😀
Msn Messenger 2007, kipindi hiko watoto wadogo mnafundishwa "that is an orange" sisi tulikuwa humu msn tukisoma habari za mambele na kufuatilia ulimwengu unaendaje..
Hii marafiki, juu hapo kuna kitangazo cha Buzz, miaka ya 2005/2006 kama sijasahau... mwanzoni iliitwa darchat kama...
Ukimya wa Wanasiasa wakongwe wa Chadema hapa JF ndg Erythrocyte na Salary Slip umezua mashaka makubwa kwa members wengi humu jukwaani.
Maoni ya wanasiasa hawa yanaweza kushawishi au hata kwa kiasi fulani kusababisha mshindi katika uchaguzi ujao.
Kwa zaidi ya miaka kumi, hamna hata siku moja...
Eti wakongwe tukiweka playlist za hawa wamama wawili nani anajua katika kipindi chake aliimba kiwango cha mbingu kufunguka.
Mimi naanza uchambuzi kati ya Kokola ya tshala muana na Greatest love of all ya Whitney Huston. Kokola naipa asilimia 75% na Greatest love of all naipa asilimia 25%.
Ila...
Mwezi Mmoja uliopita huko Mitandaoni tulionyeshwa Picha Mjongeo ya Marehemu Mzee King Kikii na hali yake ya Kiafya na wenye Maono tukajua ni suala la muda tu Israeli atafanya yake na imekuwa. Muda si mrefu tena (yaani leo) kuna Picha Mjongeo nyingine inamuonyesha Mwanamuziki mahiri kipindi chake...
Baadhi ya Wasanii Waliowahi Kutangaza Kuachana na Muziki
Suma Lee
Msanii huyu aliyetamba na wimbo wake wa "Hakunaga" alitangaza kuachana na muziki 2015 na kuamua kumrudia Mungu. Alisema nyimbo zake zilizobaki studio zisimame na zisitoke tena.
Mzee Yusuf
Alitangaza kuachana na muziki mwaka...
Wengi mnamfahamu Mzee Yussuf Makamba kwa misemo na nukuu zake za vitabu, ni miongoni mwa wanasiasa mashuhuri nchini na amewahi kuhudumu nyadhifa tofauti ikiwemo kuwa katibu mkuu wa Chama Cha Mapinduzi
Mzee Makamba ambaye kwa sasa amejikita katika uandishi wa vitabu amekuja na kitabu chake kipya...
Kushoto ni mwanariadha mkongwe wa zamani Juma Ikangaa (280) na kulia ni mwanariadha Mkongwe Filbert Bayi (331);
Ukiwaangalia kwa haraka kwenye picha utadhani ni marafiki , Ila wapo tofauti kabisa; Juma Ikangaa ni mpinga rushwa na hapendi vitu vya dhulma swala tano kabisa,
ila Filbert Bayi ni...
Wakuu Naombeni ushauri katika jambo Moja :-
Kumekuwa na mazoea kwa baadhi ya Mikoa yetu TZ, ukienda kufanya biashara au kampuni, support inakuwa ndogo bcoz sio mzawa wa eneo Lile au mkabila wa pale.
Hasa Mikoa ya Arusha na Kilimanjaro (Samahani )
Naombeni maarifa yenu, unawezaje kutoboa...
Siwezi kuliita kasri lakini itoshe kusema kijana angalau kajenga nyumba nzuri.
Mayai naona ni zuga tu, watu kibao wa Mkoa wa Mara wanaoishi Dar wanapiga hii business ila wana maisha ya kawaida.
Wakongwe habari!
Nimepata kumbukumbu za Fainali za Kombe la Dunia mwaka 1994, wakati huo nilikuwa nipo shule ya Msingi.
Mechi za mashindano haya nilizingalia Jet Club (ilikuwa ndani ya eneo la Uwanja wa ndege wa Julius Nyerere International Airport wakati ule ulijulikana kama Uwanja wa ndege...
Supastaa mpya mjini D Voice aka Jini ameianza safari yake ndani ya Wasafi kwa kasi ya kutishia sana. Ameweza kuingiza nyimbo zote kwenye trend za Tanzania uku nyimbo tano zikiwa kwenye top 10.
Tafsiri yake ni kwamba kijana kakubalika mno na kila mtanzania kila mtu ana shauku ya kumskiza...
Star wa music wa injili afrika mashariki na Kati Rose Muhando amefanya mahojiano na Rabbi TV ya nabii Malisa wa mwanza na kusema marehemu Ruge alimtamkia kuwa wakongwe mlinga nitawanyoosha kwa kuibua vijana wapya mbele ya wasanii wakongwe wote walipokataa kupiga kazi kwenye tamasha la kidunia la...
Deiwaka World chini ya Joseph Mbilinyi “SUGU” kwa kushirikiana na Alliance Francaise (Kituo cha Utamaduni cha Ufaransa), imeandaa “Bongo Flava Honors” Concerts ambalo ni Jukwaa mahsusi kwa Wakongwe wa Bongo Flava.
Concerts hizi zitafanyika Alliance Francaise, Upanga, Dar Es Salaam.
Kila mwezi...
Kwa mikoa yan kanda ya juu kusini kuna Mbeya, Iringa, Njombe , Rukwa na Songwe.
Hakuna shaka kwamba unapokuja ukanda wa nyanza za juu kusini kwa muda mrefu wanyakyusa ndio wamekuwa kabila lenye wasomi wengi zaidi, limeshatoa wanasiasa kibao waliofikia ngazi za juu, watumishi ambao wameshika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.