Huu ni uzi maalum wa kutaja wachezaji wa zamani ambao hukuwahi kuwaona wakicheza. Ukishawataja subiria wakongwe waliomuona akicheza waje wakuoe sifa zake.
Mimi sijawahi kumuona George Magere Masatu akicheza, naombeni mnitajie uwezo wake maana yupi hyped sana
Habari zenu wakuu,
Kuna nyimbo nakumbuka mistari yake na kisa chake, sauti ya Saigon pia IPO kwenye hiyo ngoma,kisa cha nyimbo ni washikaji maisha magumu hawana pesa za mavazi wala maradhi, wanapanga wakavamie nyumbani kwa muhindi tajiri wachukue pesa wamalize shida zao,,katika mpango wao...
Wanasema "hata akienda juu Kapungu hafikii kwa Mungu" ndiyo. Sisi wazee wa zamani tumekutana na mengi hadi kufika umri huu...kutekwa kisiasa,kiuchumi na kimapenzi pia. Lakini tumeweza ku survive katika jamii yenye kujawa watu na viumbe visivyo vya kawaida. Hivyo wanaotumia IDs zetu bado...
Ni katika kutafakari siasa za Tanzania na muelekeo mzima. Nikajikuta nikitafakari muda wote ambao viongozi wa vyama vya siasa wamekuwa wakishikilia hatamu za uongozi pasipo kuonyesha kuchoka, na wakiwa wepesi kurusha kila aina ya kashfa kwa chama tawala.
Freeman Mbowe aliingia katika uongozi...
Habari waungwana..... Huu ndiyo muda muafaka wa kuwahama azam na kwenda kwenye full hd DSTV maana kifurushi cha Azam cha bei ya juu TSH 35,000 channel zake hazifikii kifurushi cha DSTV cha TSH 21,000.
Kwaherini Azam mlinifaa Sana kwa kipindi nilichokuwa nanyi na huu ndiyo muda rasmi wa...
Miongoni mwa sintofahamu inayoendelea ni kutojulikana alipo aliyekuwa staa wa Bongo Movies, Mikalla aliyeng’ara kwenye Filamu ya The Lost Twins akitumia jina la Anita; filamu iliyoandaliwa na aliyekuwa kinara wa tasnia hiyo, marehemu Steven Kanumba chini ya Kampuni ya Mtitu First Game Quality...
Habari za mwisho wa Juma wakubwa ma wadogo.
Waswahili wanasema kuuliza si ujinga, jana kulifanyika kongamano la kumuenzi Mzee Moses Nnauye, Mwanasiasa Mkongwe na pia Brigedia Mstaafu katika safu ya mbele ya wasikilizaji ambao bila shaka ni viongozi wastaafu wako baadhi nimeshindwa kuwatambua...
Humu JF hakuna kiashiria chochote kutambulisha wakongwe. Sasa tutambuane wakongwe wenzangu ambao tunazaidi ya miaka 10 tangu kujiunga JF.
Comment chochote kwenye uzi huu kama unaangalau miaka 10 ndani ya jukwaa hili. Kama sio mkongwe naomba upite kimya.
Wakati mashabiki wakiwatuliza wachezaji chipukizi waliopoteza penati zao na kusababisha England ishindwe kuondoa nuksi ya miaka 55 ya ukame wa vikombe, Gary Naville amemtaka winga wa Arsenal, Bukayo Saka kutembea kichwa juu licha ya kushindwa kufunga penati muhimu ya tano dhidi ya Italia.
Saka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.