wakongwe

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Wakongwe wa hii platform jf mkuje na shout out kwenu

    Salamu wakubwa jaman nilikua na survey Kuna member since 2007 ndo natambaa sijui ila ivi mnajuaga kama Kuna watu wamepotea, au hatupo nao Tena ila muendelee kutupa madini nawaheshimu viongozi muendelee kuepo 💯.
  2. N

    WAKONGWE TUMEAMUA KURUDI JF.

    Hodi hodi JF Wakongwe tumeamua kurudi JF, vitoto vya 2000's mtupishe. Ngoja niifufue na ID yangu ya wakati JF inaitwa Jambo forum. Uzi tayari toka kwa wazee wenu wa JF. 😀😀😀😀
  3. Wakongwe wenzangu mnakumbuka wapi?

    Msn Messenger 2007, kipindi hiko watoto wadogo mnafundishwa "that is an orange" sisi tulikuwa humu msn tukisoma habari za mambele na kufuatilia ulimwengu unaendaje.. Hii marafiki, juu hapo kuna kitangazo cha Buzz, miaka ya 2005/2006 kama sijasahau... mwanzoni iliitwa darchat kama...
  4. Huu mchoro unamuhusu mchezaji gani? Wakongwe karibuni

  5. Ukimya wa wanasiasa wakongwe Erythrocyte na Salary Slip wazua gumzo.

    Ukimya wa Wanasiasa wakongwe wa Chadema hapa JF ndg Erythrocyte na Salary Slip umezua mashaka makubwa kwa members wengi humu jukwaani. Maoni ya wanasiasa hawa yanaweza kushawishi au hata kwa kiasi fulani kusababisha mshindi katika uchaguzi ujao. Kwa zaidi ya miaka kumi, hamna hata siku moja...
  6. Kati ya Whitney Huston na Tshala Muana, nani katika kipindi chake aliimba kiwango cha mbingu kufunguka?

    Eti wakongwe tukiweka playlist za hawa wamama wawili nani anajua katika kipindi chake aliimba kiwango cha mbingu kufunguka. Mimi naanza uchambuzi kati ya Kokola ya tshala muana na Greatest love of all ya Whitney Huston. Kokola naipa asilimia 75% na Greatest love of all naipa asilimia 25%. Ila...
  7. Kwanini hawa Wanamuziki Wakongwe wa Miziki ya Dansi na waliofanya vyema Kipindi chao tukionyeshwa Wanaumwa wanaonekana 'Wamedhoofu' mno?

    Mwezi Mmoja uliopita huko Mitandaoni tulionyeshwa Picha Mjongeo ya Marehemu Mzee King Kikii na hali yake ya Kiafya na wenye Maono tukajua ni suala la muda tu Israeli atafanya yake na imekuwa. Muda si mrefu tena (yaani leo) kuna Picha Mjongeo nyingine inamuonyesha Mwanamuziki mahiri kipindi chake...
  8. W

    Sababu Mbalimbali za Wakongwe hawa kuachana na Muziki

    Baadhi ya Wasanii Waliowahi Kutangaza Kuachana na Muziki Suma Lee Msanii huyu aliyetamba na wimbo wake wa "Hakunaga" alitangaza kuachana na muziki 2015 na kuamua kumrudia Mungu. Alisema nyimbo zake zilizobaki studio zisimame na zisitoke tena. Mzee Yusuf Alitangaza kuachana na muziki mwaka...
  9. Siku hizi naogopa sana Wanasiasa Wakongwe wanaozindua Vitabu vyao, kwani wengi Wao wakishazindua tu basi Huaga dunia ndani ya muda mfupi

    Wengi mnamfahamu Mzee Yussuf Makamba kwa misemo na nukuu zake za vitabu, ni miongoni mwa wanasiasa mashuhuri nchini na amewahi kuhudumu nyadhifa tofauti ikiwemo kuwa katibu mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Mzee Makamba ambaye kwa sasa amejikita katika uandishi wa vitabu amekuja na kitabu chake kipya...
  10. Wakongwe Filbert Bayi na Juma Ikangaa Vitu viwili tofauti

    Kushoto ni mwanariadha mkongwe wa zamani Juma Ikangaa (280) na kulia ni mwanariadha Mkongwe Filbert Bayi (331); Ukiwaangalia kwa haraka kwenye picha utadhani ni marafiki , Ila wapo tofauti kabisa; Juma Ikangaa ni mpinga rushwa na hapendi vitu vya dhulma swala tano kabisa, ila Filbert Bayi ni...
  11. Y

    Baadhi ya Mikoa ukienda kufanya biashara support inakuwa ndogo kwasababu sio mzawa au kabila moja, unawezaje kutoboa?

    Wakuu Naombeni ushauri katika jambo Moja :- Kumekuwa na mazoea kwa baadhi ya Mikoa yetu TZ, ukienda kufanya biashara au kampuni, support inakuwa ndogo bcoz sio mzawa wa eneo Lile au mkabila wa pale. Hasa Mikoa ya Arusha na Kilimanjaro (Samahani ) Naombeni maarifa yenu, unawezaje kutoboa...
  12. G

    Huu Mjengo wa Boniface Jacob ni kwa kuuza mayai? Mbona watu kibao wa mkoa wa Mara ni wakongwe tunasikia wana maisha ya kawaida?

    Siwezi kuliita kasri lakini itoshe kusema kijana angalau kajenga nyumba nzuri. Mayai naona ni zuga tu, watu kibao wa Mkoa wa Mara wanaoishi Dar wanapiga hii business ila wana maisha ya kawaida.
  13. Hill water alivyoingia sokoni na kuwapiku wakongwe - Uhai & Kilimanjaro

    2024 uwe na ujasiri kama Hill water. 1. Usiogope yoyote, 2. Weka mipango, 3. Tekeleza, 4. Sacrifice. Utatoboa NB: Mangi hatumii hirizi wala mazonge-zonge bali Biblia na bidii.
  14. P

    Wakongwe: Uliangalia wapi Fainali ya Kombe la Dunia 1994 kati ya Brazil VS Italia

    Wakongwe habari! Nimepata kumbukumbu za Fainali za Kombe la Dunia mwaka 1994, wakati huo nilikuwa nipo shule ya Msingi. Mechi za mashindano haya nilizingalia Jet Club (ilikuwa ndani ya eneo la Uwanja wa ndege wa Julius Nyerere International Airport wakati ule ulijulikana kama Uwanja wa ndege...
  15. Kasi ya D Voice inatisha sana. Anawakalisha wakongwe kwenye game

    Supastaa mpya mjini D Voice aka Jini ameianza safari yake ndani ya Wasafi kwa kasi ya kutishia sana. Ameweza kuingiza nyimbo zote kwenye trend za Tanzania uku nyimbo tano zikiwa kwenye top 10. Tafsiri yake ni kwamba kijana kakubalika mno na kila mtanzania kila mtu ana shauku ya kumskiza...
  16. Rose Muhando: Ruge alinuia na kujiapiza kuuwa vipaji vya wakongwe wa gospel ili aweke wake

    Star wa music wa injili afrika mashariki na Kati Rose Muhando amefanya mahojiano na Rabbi TV ya nabii Malisa wa mwanza na kusema marehemu Ruge alimtamkia kuwa wakongwe mlinga nitawanyoosha kwa kuibua vijana wapya mbele ya wasanii wakongwe wote walipokataa kupiga kazi kwenye tamasha la kidunia la...
  17. N

    Kwa Wakongwe tu, najua mtakumbuka mengi sana

  18. Sisi wakongwe picha kama hii inatufikirisha sana

    Wesley Snipe 60, Will Smith 54, Eddie Murphy 61, Martine lawrence 57.
  19. Dar: Show ya Heshima kwa Wakongwe wa Bongo Fleva si ya Kukosa

    Deiwaka World chini ya Joseph Mbilinyi “SUGU” kwa kushirikiana na Alliance Francaise (Kituo cha Utamaduni cha Ufaransa), imeandaa “Bongo Flava Honors” Concerts ambalo ni Jukwaa mahsusi kwa Wakongwe wa Bongo Flava. Concerts hizi zitafanyika Alliance Francaise, Upanga, Dar Es Salaam. Kila mwezi...
  20. Licha ya Wanyakyusa kuwa juu kwa muda mrefu kwa mikoa ya nyanda za juu kusini kielimu, kisiasa, vyeo vya juu, n.k kwanini uraisi hawusogelei ?

    Kwa mikoa yan kanda ya juu kusini kuna Mbeya, Iringa, Njombe , Rukwa na Songwe. Hakuna shaka kwamba unapokuja ukanda wa nyanza za juu kusini kwa muda mrefu wanyakyusa ndio wamekuwa kabila lenye wasomi wengi zaidi, limeshatoa wanasiasa kibao waliofikia ngazi za juu, watumishi ambao wameshika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…