Nilifuatilia kwa karibu shughuli za mazishi ya maalim Seif kuanzia msikitini pale Upanga hadi mazishi kule Mtambwe Pemba kupitia luninga ya Channel ten.
Kitu kikubwa nilichojifunza waislamu kwenye mazishi wanamjali zaidi marehemu kuliko wao wanaobaki.
Kwa mfano pale msikitini Upanga swala...
Wakristo tuwashangae Azam TV wameshindwa kuenzi Xmas yetu kwa kuweka alama au kiashiria cha kuonesha Kristo anazaliwa.
Sisi kama wateja ambao wakati wa sikukuu za Kiislam tunavumilia kuona alama zao zinazoashiria sikukuu zao ni vyema tukawasusia TV yao inayoonesha ubaguzi wa dini hadharani...
Katika mahubiri yake ya kufunga mkutano mkuu wa sinodi ya DMP ya Kanisa la KKKT, askofu mkuu mstaafu wa Kanisa la Anglican baba Donald Mtetemela amesema Wakristo tunapewa ili tutoe na Hatutoi ili tupewe.
Askofu Mtetemela amesema si sawa kutoa sadaka ukitegemea kupokea ama utajiri, mali au...
Inakuwaje wanaJF!
Ni rahis sana kwa mkristo kuwa Muislam kuliko Muislam kuwa Mkristo kwasababu kwa wakristo wengi kuna uhuru na siyo kulazimishwa na hakuna kutishiwa kuuwawa kama kwa Waislam ulibadilisha dini.
Ndio maana kuna msemo wa wale waliobadilisha dini kutoka uislamu hadi Ukristo...
Baada ya mahakama nchini Afrika Kusini kumpa ushindi mtu aliyetaka kupigwa marufuku kwa sauti ya adhana katika eneo analoishi,wananchi wa madhehebu mbali mbali na imani tofauti kwenye eneo la Isabingo jijini Durban wameandamana wakiwaunga mkono waislamu wakitaka adhana iendelee kama kawaida...
Naomba kuuliza wakristo wenzangu kuhusu taratibu za msiba. Akifariki mtu wa kawaida basi Padre tu husimamia ibada. Lakini akifariki mtu maarufu au tajiri basi huja Askofu tena akiwa na viongozi wengine kuendesha hiyo ibada.
Kwanini Askofu asiendeshe hiyo misa hata angalau kwa msiba wa kapuku...
Zanzibar imeshuhudia watia nia 23 wakichukua form ili kuteuliwa kuwa wagombea wa Uraisi Zanzibar.
Ila kilichonishangaza SIJAONA MKRISTO HATA MMOJA...
Kwani wakristo wa Zanzibar mnakwama wapi?
Ila Jecha kumbe ni mwana CCM yaani refa naye ana timu...!!!
#YNWA
Kuna wakati nikilitazama bunge na matukio yake huwa nashindwa kulitofautisha na kundi lolote la kipagani.
Tena huwa najiuliza kuna aliyeapa kwa kushika Biblia mle ndani? Hebu fikiria wabunge watatu wamekufa kwa mfululizo juzi kati tu lakini wabunge hawana huzuni yoyote hata kuzika hawakwenda...
Tukubali Waislam wametokana na Waarabu, watu ambao katika list ya utajiri duniani hawapo sana. Wakristo asili yetu wengi ni Ulaya na Marekani ambako ndiko wabobezi wa utajiri wako huko. Sasa kinachonishangaza licha ya yote sielewi kwa ñini nchi yetu matajiri wengi wakubwa, watoa misaada wengi ni...
Mazingira ya maisha hapa Zanzibar kipindi hiki cha mfungo wa Ramadan kwa Wakristo ni magumu sana hasa kuhusu suala la chakula,kwa sisi ambao tuko kikazi huku na familia zetu ziko bara ni shida.
Mfano kupata chakula inabidi uende kwenye lile kanisa ambapo zamani kulikua na soko la watumwa...
Habari Wana JF
Nilipenda sana huu uzi ukae jukwaa la Jamii Intelligence
Lakini nimeshindwa kutokana na matatizo tunayofanyiwa kule kila uzi ukiuweka unakuwa sio approved na ukizingatia uzi unakuwa hauna shida yoyote, basi wacha tukutane hapa hapa tu.
Sasa naendelea na hoja
kama kichwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.