Waziri wa Tamisemi Ummy Mwalimu amesema ni marufuku kwa wanasiasa kuingilia taaluma ya Uuguzi.
Waziri Ummy amesema tabia ya Wakuu wa Mikoa au Wilaya kuwakamata Wauguzi na Madaktari na kuwaweka ndani haikubaliki kabisa na atakayethubutu kuwachezea watumishi wa afya yeye kama Boss wao...
Kama nawaona sasa baadhi ya Watu (Walengwa) baada ya Kuusoma tu 'Uzi' huu watakavyoanza Kupiga Simu kwa Waganga wa Kienyeji na hata Kuomba 'appointment' nao haraka.
Moshi Mweupe unaanza Kupaa tu sasa.
Ndugu wanasiasa wenzangu, awali ya yote nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania KAZI IENDELEE. Hawa watu wanahangaika sana na pia inabidi ikimpendeza Rais awateue upya au awaambie wachape kazi tu maana wanatumia fedha za umma vibaya. Wakurugenzi ndio wa hovyo kabsa muda huu kila...
Amemtuhumu RC wa Geita kwa kutafuta milioni 600.
Amelaani mamlaka aliyopewa RC kuamua matumizi ya fedha za Halmashauri.
Msikilizeni Musukuma kuanzia dakika ya 3:36 ktk video hapo chini.
https://www.ippmedia.com/sw/habari/mbunge-adai-rc-geita-kutafuna-mil-600
Sisi ghorofa zetu tunajenga kwa miliono 120-200 na zinapendeza na kukalika kwa kuji nafasi. Hawa viongozi hizi ghorofa zao huwa wananunulia vifaa wapi au gharama zinatokana na nini?
===
Mamilioni kujenga nyumba za wakuu wa wilaya na mikoa. Milioni 838 kumalizia nyumba ya mkuu wa mkoa Kagera...
Binafsi nimpongeze mama yetu Rais wa JMT Samia Suluhu Hassan kwa kuanza kazi vizuri na kikubwa zaidi alichonifurahisha ni kuwataka viongozi katika Serikali yake kutumia akili katika kuongoza watu badala ya mabavu, ni jambo jema kwa kweli.
Kaanza kwa kutuletea VP Mpango, kateua mawaziri na juzi...
Rais Samia Suluhu Hassan amesema Jumanne kutakuwa na uapisho wa wateule wengine Ikulu, Dodoma.
Je, ni nani hao watakaoteuliwa na kuapishwa?
Ngoja tuone.
Maendeleo hayana vyama!
Mheshimiwa Rais Samia leo amemwapisha Katibu Mkuu Kiongozi na baadhi ya Mawaziri na Manaibu wao. Hii ni kufuatia mabadiliko madogo aliyoyatangaza jana tar 31 March 2021.
Baada ya kuwaapisha, Rais Samia amesikia akisema kuna uwezekano Jumanne kuna watu wataingia Chamwino kula viapo.
Mnuso wangu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.