Kuna watu wanalalamika kuhusu Uteuzi wa Ma DC. Hebu tuongea Kidogo hapa.....
Na Thadei Ole Mushi
1. Kuwa Mwigizaji au Msanii Hakukunyimi kuwa na sifa za kuwa Kiongozi. Tena Mwigizaji anaweza kuwa Kiongozi mzuri. Kinachoangalia ni uwezo wake katika kufanya vitu. Nilisema wiki Chache hapa...
Nazidi kusikitika kuona utawala na mamlaka ya raia yanapokonywa. Wanasiasa kama unaona huna uwezo wa kuwaongoza hao militant bila kuwaingiza kwenye siasa basi waondoe kwanza jeshini wabaki civilian then ndiyo uwateue.
Kitendo cha karibia mkoa mzima wa Kigoma kuwapelekea wanajeshi kuwaongoza pia...
Rais Samia Suluhu Hassan leo ameachia mkeka wa Wakuu wa Wilaya mbalimbali uliosheheni vijana. Baadhi ya Wakuu wa Wilaya wapya ni pamoja na aliyekuwa Katibu Mkuu wa CHADEMA, Dkt. Vincent Mashinji, pia yupo Joshua Nassari na Wakili Albert Msando. Wengine ni Mwenyekiti wa UVCCM Kherry James...
Naendelea kujiuliza hizi course za POLITICAL SCIENCE zinakazi gani kama tunaokoteza okoteza tu viongozi kwa kuangalia umaarufu wao!
Kwann wasibebe wasomi/malecture ama watumishi wa serikali kwa nafasi hizi Zaid ya kuwajaza wauza sura,wasanii na wapiga picha na kushinda instagram muda wote...
Rais amesema Leo kuwa Ma-DC wote wapya watakuwa vijana maana karibuni anataka kufanya mabadiliko makubwa na wote watakaochukua nafasi ni vijana.
Kama ni kweli hii basi Natoa pongezi kwake.
========
"Vijana tunaomba mjitambue kuwa niyi vijana ndio wenye maoni ya taifa hili kwa sasa na karibu...
Kwa miaka zaidi ya kumi Sasa wanasiasa wamekosa nidhamu na weledi wa utoaji huduma katika ngazi tajwa.
Naamini watumishi wa Umma wengi hawafungamani na sana na vyama vya siasa, kwao wao kazi ndo msingi wa maisha. Wengi hawawazi kugombea Wala kujipendekeza kuteuliwa. Kuwateua vijana kutoka...
Najua leo hii wengi wanapata utulivi baada ya kuona Sabaya akipandishwa kizimbani. Naiona hii haitoshi kwa sababu hatujaona mbele hukumu itakuwaje. Huenda itaibua mapya mengi na mengine yakiwahusu hao waliomtuhumu.
Shida yangu ni ubora duni wa wanaoteuliwa kushika nafasi hizo. Tatizo ni...
Rais Samia. Tafadhari sana.
Wakuu wa wilaya wenye tabia ya Sabaya ni wengi.
Wilaya nyingi watu wana vilio vya wakuu hawa ambao walikula michango ya wananchi na hasa kwenye ujenzi wa maabara na madarasa.
Wananchi walitoa michango kwa nguvu, lakini bila huruma pesa zimeliwa.
Hawa nawaona ni...
Rais Samia amesema Rais hafanyi makosa katika kuteua kutoka wafuasi wa vyama vya upinzani.
Rais Samia amesema kuna wakati wakuu wa wilaya pale Kilimanjaro walikuwa wanamsumbua mama Mghwira kwa madai kuwa hayati Magufuli alikosea kumteua.
Rais hakosei, amesisitiza mama Samia.
Uzi huu ni...
WAJUMBE Walioteuliwa kugombea CCM NEC TAIFA MWAKA 2017 ,ukipitia CV zao , ni wanaccm halisi na wenye uwezo wa kuiongoza CCM na kukipisha mwaka 2025.
WAJUMBE hao waliochaguliwa kwenda kugombea ila kura zao hazikutosha,ni muda sasa wateuliwe kwenye nafasi za wakuu wa wilaya, Wakurugenzi wa...
Wanabodi Salaam,
Naandika haya nikitambua kuwa kwa Mamlaka ya Rais. Rais hatalazimika kufuata ushuri wetu pindi atakapo kuwa akitimiza majukumu yake kwa mujibu wa katiba.
Hata hivyo ni muhimu kwa Rais kupitia ushauri wa wananchi anaowaongoza kwa kuwa mamlaka yake yametoka kwa wananchi.
Rais...
Fahamu kwamba kwa mujibu wa sheria ya uongozi wa mikoa (The Regional Administration Act) Sura ya 97, Mkuu wa Mkoa na Mkuu wa Wilaya ni maofisa (watumishi) wa Umma (Kifungu cha 3 na kifungu cha 4 (2)).
Stahiki na mafao yao ma-RC na ma-DC zimeelezwa katika Sehemu ya 6 ya Sheria ya the Political...
Ndugu zangu wanaJF,
Kuna kitu nakiona si kizuri hata kidogo, Hivi ni kwanini hiki cheo au nafasi hii ya utendaji ambayo kimsingi ni ya kiongozi wa ulinzi na usalama wa wilaya inashushwa hadhi kiasi hili, kwa sasa ni ukweli usiopingika ni kwamba vijana wengi wanaililia hii nafasi wakidhani ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.