Chama cha ACT Wazalendo kimeitaka Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, kuhakikisha kuwa utoaji wa mikopo kwa wananchi unazingatia makundi yote, hususan watu wenye ulemavu, bila ubaguzi.
Kauli hiyo imetolewa siku ya Alhamisi na Katibu Mkuu wa ACT...