Kila siku wanatoka kuomba mtaani na kumletea mapato jioni.
Malipo yao hupewa tu chakula na malazi. Walemavu hao amewakusanya kutoka mikoa mbali mbali Tanzania.
My take:
Watani zangu wachaga tuangalie njia zetu za utafutaji tusifikirie tu kwenda kuweka heshima Disemba nyumbani.
Chanzo: TBC...
Mkuu wa wilaya ya Kinondoni mh Chongolo amesema wale wote waliokamatwa katika zoezi la kukamata wanaowatumikisha walemavu wametenda kosa la jinai.
Chongolo amesema wahusika wa miradi hii watashtakiwa kwa kosa la kusafirisha binadamu.
Walemavu waliokamatwa wengi wanatoka mikoa ya Shinyanga...
Serikali imegundua mtandao wa watu ambao uwakusanya walemavu nchini na kuja kuwatumikisha mjini Dar es salaam kwa ajili ya kujipatia kipato.
Walemavu hao wapatao 25, wamegundulika wakiwa wamehifadhiwa katika gesti moja hapa Dar es salaam maeneo ya Tandare karibu na Manzese.
Timu ya viongozi...
Kwanza niwapongeze kwa moyo wenu wa kujitoa katika kuwasaidia watu wasiojiweza (walemavu wa viungo) ambapo huwa mnawasukuma kwenye maeneo mbali mbali ili basi walau waweze kupata msaada wa chochote kitu ili maisha yaende, na hapa simsemi mtu vibaya, maana hujafa hujaumbika.
Ila mimi nilikuwa...
Ibara ya 54 ya Sheria ya Taifa ya Uchaguzi Sura ya 343 inamruhusu mtu anayeshindwa kupiga kura kutokana na sababu za ulemavu au kutojua kusoma na kuandika
(a) Kumchagua mtu yeyote anayemwamini, tofauti na afisa anayesimamia uchaguzi, kumsaidia kupiga kura
(b) [Mpiga kura mwenye ulemavu wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.