walevi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Hivi Nini kinapelekea walevi ( wakishalewa ) kulia, hasa zikipigwa nyimbo za gospel

    Nimekutana na scenarios tatu za namna hii kwenye mikoa tofauti. Mara nyingi inatokeo Ile mida mibovu yaani saa7 usiku kuendelea watu washachangamka, nashindwa kuelewa Nini Huwa inapelekea hii hali kutoka Nishashuhudia mkoa Fulani huko Kanda ya ziwa, Dj alipiga nyimbo za gospel bar mzima watu...
  2. Usiwe na mahusiano ya kudumu(malengo) na mwanamke mlevi (cha pombe) utanishukuru baadae

    Habarini za weeknd wana JF Mimi swali langu ni moja tu kuna uhusiano gani kati ya unywaji pombe na umalaya au uchepukaji wa wanawake walio kwenye mahusiano ? Yaani kama demu wako au mke wako anatumia pombe umeliwa mkuu we jua tu unagongewa vya kutosha wahuni wanamuinamisha vya kutosha niamini...
  3. Walevi awakosi sababu ya kulewa

    Tuseme ukweli, walevi wana kipaji cha hali ya juu cha ubunifu. Wakati sisi wengine tunahangaika kutafuta sababu za maana za kufanya maamuzi maishani, wao hawana muda wa mawazo magumu—maisha ni mepesi tu: Kila siku ni sababu ya kunywa. Jumamosi? Ni siku ya kupumzika. Jumapili? Yesu alikunywa...
  4. Nawapenda walevi mafisi yaan walaji vitu vitamu

    Nawasalimu rafiki, nawapenda walevi jaman wanaojua kula vitu vitamu kwa usafi wake. Ni hilo tu, tufanyeni kazi tukutane jioni japo tupige story mbili tatu maeneo ya Shoppers tunywe kahawa nitalipa bill mimi kwa mtu mmoja, ni karibu na maeneo ya Morena wenyeji mtaelewa
  5. Ushauri kwa Walevi : Pombe mbaya jamaa jana nimetukanwa sana na Mlevi

    Na huu ni ushauri kwa walevi wote wanaoishi Duniani. Walevi naongea na walevi wote dunia nzima wale wastaarabu nawaweka pembe ila walevi ambao sio wastaarabu huu uzi unawahusu, mkishalewa tafadharini sana ndugu zangu walevi nendeni mkalale acheni matusi na kuongea lugha chafu na kumtukana mtu...
  6. Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

    Kwa heshima kubwa. Hii kaliba itambuliwe rasmi kama mdau mkubwa wa maendeleo hasa kwenye eneo la ulipaji kodi. Ndio mshindi wa kwanza kila mwaka ikizishinda taasisi nyingine kwa mbali mno. Pamoja na sifa zote hizo lakini pia kaliba hii inakabiliwa na changamoto mbalimbali hasa . Kushindwa...
  7. Unakuta mtu anaeleza changamoto za ndoa yake kwa vitoto vya 2000 counter

    unakuta mtu anaeleza changamoto za ndoa yake kwa vitoto vya 2000 counter,huyo bar med atakusaidia nini zaidi kujizalilisha..wengine wakunywa pombe kali hawajala matokeo yake wanajisaidia haja kubwa mitaani mambo ya hovyo kabisa. kesho tena linaingizana likiwa timamu watu wanalisanifu tuh. huu...
  8. National crisis: Vijijini hakuna watu kabisa, wamebaki wazee wachache na vijana walevi wa visungura

    Nchi hii imebaki tupu kila mahali, watu wameenda wapi? Vijijini hakuna watu kabisa, kuna wazee wazee wachache tu wanaosogeza sogeza siku huko, na vijana wachache wanasukuma sukuma siku zipite kwa visungura vile vikali kabisa…, such a hopeless life. Kweli ndio tuseme vijana wote wapo mijini...
  9. Tabia gani za walevi huwa zinakushangaza?

    Huwa siielewi Tabia za walevi. Yaani ghafla mtu anang'ang'ania kuvua shati... Nini hutokea? Mwingine akilewa ndiyo Sasa ataanza kuimba nyimbo na kucheza Ngoma za kwao. Pombe ndiyo imemkumbusha hizo nyimbo na Ngoma? Kuna tabia za walevi hushangaza Sana.
  10. Bidhaa zinazoingiza mapato makubwa zaidi ya kikodi Tanzania 2023/24: Pombe yachangia bilioni 929

    SOURCE: The Chanzo 1.⛽️Mafuta- Trilioni 3.6 2.🍻Bia- Bilioni 609 3.🍸Spiriti na Konyagi- Bilioni 320 4.📲Simu- Bilioni 320 5.🚬Sigara- Bilioni 275 6.🍶Vinywaji baridi- Bilioni 188 7.🧋Sukari- Bilioni 89.6 8.🧱Saruji- Bilioni 75 9.🥤Maji ya chupa- Bilioni 72 10.🏭Gesi asili matumizi viwandani- Bilioni 54
  11. Mada Maalum ya Vituko vya Walevi na Ulevi

    Ulevi ni janga na Changamoto inayokabili watu wengi sana.Ulevi huwa unaathiri familia na maisha ya watu. Katika kukabiliana na Changamoto hii ninakusudia kuanzisha Jumuia za Walevi wanaotaka kuacha ulevi.Walevi hawa watkutana katika maeneo fulani na kujadili changamoto zao bila kuwepo na kilevi...
  12. Kweli walevi wa madaraka wamejaa sana CCM

    Ebu msikikizeni tena huyu mwanaccm anavyomwaga sifa za CCM kwenye chaguzi. Najiuliza hivi ule utaratibu wa kuwapeleka viongozi kwenye chuo cha uongozi watarajiwa haupo tena? Ipo wapi nguvu ya vetting kwa viongozi?
  13. Tanzania kuwa miongoni mwa nchi zenye walevi wengi Afrika. Nini kifanyike?

    Katika miaka ya hivi karibuni, matumizi ya pombe nchini yameongezeka kwa kiasi kikubwa (WHO, 2023) kutokana na sababu kadhaa: 1. Sababu za Kijamii na Kiuchumi Kuongezeka kwa kipato kinachopatikana mikononi mwa watu, hasa katika tabaka la kati, kumefanya pombe iweze kupatikana kwa urahisi zaidi...
  14. Leo nimepata tiba ya mning'inio (hang anxiety) hasa kwa walevi...

    Mimi ni miongoni mwa vijana wa kitanzania wanaoshtua yaani kutumia kilevi ( pombe) ili kuchangamka Na kuongeza confidence, nilikuwa nikitumia pombe kwa kiasi kikubwa kesho yake Basi naamka Na huzuni au mapigo ya moyo muda mwingine yanakuwa yanapiga kwa Kasi sana..ukiniona huwezi kujua kama...
  15. R

    Mwanzo nilidhani wanapendana, urafiki wa walevi ni wa mashaka tele!!

    Salaam, Shalom!! Usishangazwe na salamu, Kuna Wana wa Mungu wamenitoroka, nawatafuta niwarudishe nyumbani. Turudi kwenye mada. Katika kuishi kwangu nimewahi kuona aina mbalimbali za walevi, Kwa nje unaweza kudhani wanapendana sana, Mlevi mmoja alisafiri Kwa pikipiki karibia kilometa Tano...
  16. Mbona walevi wanapata pata hela kuliko wasiokunywa

    Asilimia zaidi ya nusu ya muda wangu natumia kukaa na walevi kila siku na zaidi ya asilimia 90 ya marafiki zangu ni walevi wa pombe za viwandani na hata za asili. Nilichokigundua kwetu sisi wanywaji tunakuwa na bahati sana ya kupata hela yaani mlevi hakai siku tatu au nne bila ya kupata hela na...
  17. Biblia na Quran vinachangia kiasi gani kwenye Pato la taifa? Watumiaji wa vitabu hivi acheni kuwasakama walevi, wao ndio wanajenga taifa letu

    Inasikitisha sana. Vitabu vya dini havina Kodi, kama vina Kodi basi ni kidogo sana. Pombe zinaingizia Serikali faida kubwa kupitia Kodi. Hivyo walevi ndio wajenga nchi yetu. Barabara zetu, shule, vituo vya afya na mambo mbalimbali ya kimaendeleo yanategemea zaidi walevi kuliko walei. Cha...
  18. Usione watu wanakunywa pombe hivi, hakuna watu wanapata usingizi mzuri kama walevi

    Nachokisema Nina uzoefu nacho sana nataka ujue ukweli kwanini mtu anafikia hatua anakunywa pombe kila siku na mtu wa hivyo usimdharau jua anakumbwa sana na changamoto ya kukosa usingizi usiku anakumbana na sleep paralysis inayomtesa sana kuacha pombe inahitaji msaada sio wote wanakunywa ukaona...
  19. Njombe: 50% ya Wanakijiji wa Utiriri wadaiwa kuwa Walevi

    Asilimia 50 ya wakazi 1,200 wa kijiji cha Utiriri kilichopo kata ya Lupanga wilaya ya Ludewa mkoani Njombe wamedaiwa kuwa ni walevi hali ambayo inasababisha watoto wao kukosa lishe bora. Afisa lishe halmashauri ya wilaya ya Ludewa John Kiusa ametoa taarifa hiyo kwenye kampeni ya lishe wilayani...
  20. Swali kwa Wanywaji (Walevi)

    Kwanini Walevi huwa mnahama hama kwenye Mabaa, yani unakuta leo unakunywa baa hii after a while upo Baa nyengine. sababu huwa ni nini?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…