Habari wakuu.
Kuna haja ya Kuanzisha leseni ya ulevi kwa mdaraja tofauti tofauti Ili kuwa chanzo cha mapato na kulinda watoto chini ya miaka 18.
Mfano wa leseni utakuwa kama hii hapa chini 👇👇
YESU ALIKUNYWA NA KULA NA WALEVI NA WAHUNI; JE Rais SAMIA ANATUMIA FALSAFA HII?
Kwa Mkono wa Robert Heriel.
Nikiuangalia utawala wa Mama Samia Suluhu ninajikuta nikikumbuka Kisa cha Yesu wa Nazareth.
Yesu wa Nazareth moja ya falsafa yake ni kuchangamana na Wale wanaotofautiana naye kiitikadi...
JAMAA WANA HADI STIKA ZINAZOFANANA NA ZA TRA
23MAY 2021
Nipashe Jumapili
Ashikiliwa na Polisi kuendesha kiwanda feki cha pombe
JESHI la Polisi Mkoa wa Arusha linamshikilia mtu mmoja kwa tuhuma za kuendesha kiwanda feki cha kutengeneza pombe kali inayowekwa kwenye chupa inayofanana na ya...
Kwa wale wenzangu na mie ambao siku haiwezi kupita hasa kipindi hiki cha joto bila kushusha kinywaji baridiii hebu tukutane hapa tupeane mikakati na mbinu za kuendelea ku enjoy hiki kinywaji.
Wenzetu wanywa bia na vinywaji vikali hebu mtupishe kwanza.
Wadau,
Aisee naona walevi wa siku hizi wamestaarabika kuliko wa zamani aisee sijui walevi wa zamani walikuwa wanatumia vilevi gani, yaani Siku kama ya leo mtaaani ni vurugu mpaka wazee wanapigana.
Wengine wameangusha magari. Siku hizi hakuna kabisa hayo, sijui pombe za zamani zilikuwa kali...
Ndugu zangu nimekua niki tahamaki tabia za hawa wadudu yani kuna kabaar apa jirani kapo classic kiasi.
Ila kila nikienda kugida bia zangu lazima awa wadudu waje mezani ata walambe japo kidogo bia kabla na wao awajalala sijui ni kwa nini!!
Na mimi nimekua sio mchoyo nikiwaona tu mezani nawaekea...
Jamii yetu inapitia kipindi kigumu cha kucopy na utandawazi ,technology etc.Hii imepelekea janga kubwa la Vijana hususani wa kiume (na baadhi wakike ) wenye mahusiano kuiga hulka za vijana wa maghalibi kupenda kutumia muda wao na marafiki (Washkaji /Masela) zaidi ya wapenzi wao .
Marafiki ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.