Waswahili husema, Kumsukuma mlevi ni kumuongezea mwendo.
Sijapendezwa na hatua zilizochukuliwa hivi karibuni na baadhi ya tuliowapa dhamana ya kutulinda na kutuongoza. Hakika, sijapata mantiki ya kwanini yatokee.
Tulianza vizuri, watu tunaimani na wewe, umetupa faraja, umetuelezea safari yako...