walezi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Damaso

    Like Stars on Earth: Filamu Bora kwa Wazazi na Walezi.

    Filamu ya Like Stars on Earth ya mwaka 2007 ni moja ya kazi bora za sanaa zinazogusa kwa undani masuala ya malezi, elimu, na namna tunavyowahukumu watoto katika jamii ya kisasa. Imeongozwa na Aamir Khan na Amole Gupte, na inajumuisha nyota wa filamu kama Darsheel Safary, Aamir Khan, pamoja na...
  2. G

    Kwenu wanafunzi wa form 4 na wazazi, Form 5 na 6 ilishapitwa na wakati.Ni vizuri kuanza chuo mapema baada ya form 4 na hupanua zaidi goli la ajira

    Hasa kwa wale wenye malengo ya kuja kuajiriwa kwasababu ukweli mchungu wa mfumo wetu wa elimu yetu inaandaa zaidi wahitimu kuajiriwa serikalini, wachache sana wamevunja mwiko huu kwa kutumia elimu zao kujiajiri kwa hiari Ni kwanini form 6 ilitokea kuwa maarufu zaidi ? Hapo zamani nchi ilikuwa...
  3. G

    Nawasisitiza walezi na wanafunzi, Form 5 na 6 ilishapitwa na wakati, kuanza chuo baada ya form 4 ni maamuzi sahihi na hupanua zaidi goli la ajira

    moved jukwaa la elimu
  4. G

    Mabinti wa Manyara, Singida na Dodoma huja mijini kwa ahadi ya kazi kumbe ni pimping, Nashauri walezi wawe makini wajiridhishe kabla ya kuwaachia

    Pimping - Kupata fedha kwa njia ya kuwadalalisha wanawake watumike kingono Kumekuwa na michezo michafu inafanyika mabinti wa mikoa hiyo Songida, Manyara na Dodoma wanaitwa kuja kwenye majiji wakiahidiwa kazi kumbe ni mambo mengine kabisa. 1, Bar - Yaani wauza bar na Pub imekuwa kama wamekariri...
  5. Robert Heriel Mtibeli

    Watu wanaodharau Kazi za Watu Wengine ukiwafuatilia walikuzwa na kusomeshwa na Wazazi au walezi waliofanya Kazi Zenye mazîngira ya Kúpiga Dili

    WATU WANAODHARAU KAZI ZA WATU WENGINE UKIWAFUATILIA WALIKUZWA NA KUSOMESHWA NA WAZAZI AU WALEZI WALIOFANYA KAZI ZA KUPIGA DIL Bado naendelea na utafiti wàngu. Lakini Mpaka Hapa nilipofikia nakaribia kufanya hitimisho. Sidhani kama kitakuwa na badiliko lolote Kwa haya Majibu niliyonayo mpaka...
  6. G

    Vijana wa vyuoni, mjifunza na mjichanganye na bodaboda, mama ntilie, kinyozi, dalali, wafugaji, n.k. Just in case ! nanyi walezi na wazazi muwasihi.

    Maisha yamebadilika sio tena kama enzi zetu ukimaliza degree ajira unachagua. Kwa hapa tulipo nazidi kujionea vijana wengi sana wanamaliza vyuo wakiwa vijana wadogo wenye 23 hadi 25 lakini wanakuja kujipata wakiwa 30s, hapo kati stress zinawatafuna na kwa kiasi kikubwa ni matokeo ya zile ndoto...
  7. G

    Vijana wa vyuoni, mjifunza na mjichanganye na bodaboda, mama ntilie, kinyozi, dalali, wafugaji, n.k. Just in case ! walezi na wazazi muwasihi.

    MOVED >>
  8. Dkt. Gwajima D

    Wazazi na Walezi huu ni ujumbe wenu wa thamani kuelekea siku ya familia duniani

    Salaam nyingi za upendo kwenu. Wazazi na Walezi, tunapoelekea kwenye siku ya familia duniani tarehe 15 Mei, 2024, tafadhali tuanze ukurasa mpya wa kuwa karibu zaidi na watoto wetu. Zawadi iliyo bora zaidi kwa mtoto wako kwenye nyakati za Dunia ya leo, ni kuwa karibu naye, tena karibu zaidi...
  9. G

    Muziki wa Warekani Weusi hasa hiphop ni sumu, Wazazi na walezi tujitahidi kuwaepusha watoto na huu ujinga

    Ni muziki ambao umesambaza culture ya kijinga sana. 1. Kuwaendekeza wasikilizahji kudharau shule, Kusifia ujeuri dhini ya walimu utoro, na kuwaaminisha watoto elimu ya mtaani (street smrts za kutoboa kwa shortcuts) ina thamani kuzidi elimu ya shuleni, Wengi wameon shule ni upuuzi na kujikita...
  10. F

    Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Kikwete na Mbowe, hawa ndio walezi wakuu wa kisiasa wa Edward Lowassa

    Miamba hii mitano ndio inayohusika kwa kiasi kikubwa zaidi na mwanzo hadi mwisho wa maisha ya kisiasa ya Edward Lowassa. Edward Lowassa alianza maisha ya siasa katika mikono ya Mwalimu Nyerere akiwa kijana mdogo miaka ya 60's. Mwaka 1988 Lowassa alikuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha...
  11. Stephano Mgendanyi

    Wazazi na walezi Wilayani Ludewa tuwapeleke watoto shuleni

    WAZAZI NA WALEZI WILAYANI LUDEWA TUWAPELEKE WATOTO MASHULENI Mkuu wa Wilaya ya Ludewa- Victoria Mwanziva ametoa rai kwa wazazi wote kuhakikisha Watoto ambao wamefikia umri wa kuanza masomo ya Awali, Darasa la Kwanza na wanaoanza Kidato cha Kwanza- kwa mwaka wa masomo 2024 kufanya hima...
  12. R

    Watoto wa (Kikristo) hasa kipaimara na komunio wanadhalilishwa kisaikolojia na walezi wao wanapopelekwa kwenye kumbi za sherehe kuungana na walevi

    Wakristo jaribuni kutenganisha dhambi na Mungu: mnapotaka kusali salini mkiwa mmevaa unyenyekevu. Mnapotaka kulitumia neno la Mungu au kufanya sala wekeni vitu vyote visivyompendeza Mungu mbali nanyi. Ndivyo biblia inavyotaka na ndivyo tunapaswa kuishi. Wakristo kuna kitu mnaita ubatizo...
  13. sky soldier

    Kuwe na adhabuya kifungo kwa wazazi / walezi wanaoficha ndani watoto walemavu, ni ukiukaji wa haki za mtoto

    Kuna kipindi niliwahi kuwa mtaa moja na familia flani, wengi tulijua kwamba wapo watatu tu ni mpaka siku ya msiba wa mtoto mlemavu ndio tukajua kuwa kulikuwa na mtoto wa ziada, ni jambo lililonishangaza sana. Na chanzo kikuu bila kupepesa macho huwa ni kwamba wazazi wanaona aibu kwenye jamii...
  14. Mhafidhina07

    Hivi wazazi na walezi mnawezaje kuishi watoto viburi majumbani kwenu?

    Mimi ni mtoto wa pili katika familia ya watoto 8 nina miaka 27, bado naishi nyumba ya kifamilia bado mambo bila bila (maisha magumu kuhama) nimepoteza mzazi wa kike na wakiume anaishi mbali kidogo na sisi ila tunashukuru hajakataa uzazi wake. Kama mnavyojua katika familia lazima baadh ya muda...
  15. R-K-O

    Kwanini watu wengi tuliobahatika kulelewa na wazazi / ndugu tunadharau watoto wa mitaani ?

    Nami wala nisiwe mnafki sitaki nijifiche kwamba ni mwema kwamba niwakemee wengine Watu wengi tumepata bahati ya kuweza kuja hapa duniani tukiwa na bahati kubwa sana ya kupata malezi ya kulishwa, kuvishwa, kuishi nyumbani na kulelewa na wazazi ama ndugu walioweza kujitwika hayo majukumu. kuna...
  16. R

    Mtoto wako alikuwa hana mazoea ya kwenda kwa jirani fulani lakini ghafla habanduki huko, shtuka!

    Wakuu, Una jirani, rafiki yako au hata ndugu mnaoishi karibu na mtoto wako alikuwa hana mazoea ya kwenda huko lakini ghafla amekuwa habanduki kwa jirani huyo mzazi shtuka. Na kinyume chake vile vile, mtoto wako alikuwa anapenda kwenda sehemu fulani kucheza lakini ghafla haendi huko na unajua...
  17. JanguKamaJangu

    Machaguo ya Wanafunzi wanaojiunga Form 5 yapangwe mapema, mamlaka zinawaumiza Wazazi na walezi

    Naomba mamlaka zinazohusika kuchagua Wanafunzi kwenda kidato cha tano zote zitoe nafasi ya waliochaguliwa mapema ili kuwawezesha wazazi na walezi kufanya maandalizi ya kuwapelekea Watoto shule kwa utaratibu. Machaguo yanapotoka mapema inampa fursa hata mzazi au mtoto kujipanga mapema kwa kujua...
  18. Engager

    Kwa wazazi, walezi na wanafunzi mliochaguliwa kujiunga kidato cha 5

    Nimeona mijadala humu. Mwanafunzi anauliza nimechaguliwa shule flani, wazazi na walezi wanauliza mwanangu kachaguliwa shule flani, mkitaka kujua kama shule hizo ni nzuri ki ufundishaji na ufaulu kwa ujumla. Niwape tu general information. Shule nyingi za serikali ni tiamaji tiamaji. Shule...
  19. M

    Wazazi na walezi kuna vyuo vya ufundi kwa watu wenye ulemavu, tuvitumie

    Ndugu zangu Watanzania kwanza nianze kwa kutoa ufafanuzi kidogo juu ya VYUO hivi vya ufundi Kwa watu wenye ULEMAVU. Hivi ni VYUO vilivyoanzishwa maalum kwaajili ya kuwasaidia walemavu kupata ujuzi na stadi za maisha Ili waweze kujitegemea na pia kujichanganya na jamii wanamo ishi. VYUO hivi...
  20. S

    SoC03 Ni mhimu kuwa na tovuti au mfumo wa matokeo kwa shule za msingi na sekondari ili kuwarahisishia wazazi na walezi kupata wepesi wa kufuatilia maendeleo

    Ni mda mrefu hata sasa waalimu wa shule za msingi na sekondari wanatumia njia ya kutuma ripoti ya matokeo au karatasi yenye matokeo ya Mwanafunzi, Shule baadhi waalimu huwakusanya wanafunzi na kuanza kuwasomea matokeo yao kuanzia mwanafunzi wa nafasi ya kwanza mpaka kwa mwanafunzi aliyepata...
Back
Top Bottom