walezi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. NetMaster

    Mnaoishi na watoto warefu mnakabiliana nao vipi wanapogoma kuadhibiwa kwa kipigo? Wamewahi kuwabadilikia?

    Walezi wa kiume iwe ni baba, mjomba, baba mkubwa, n.k, huwa ndio wanategemewa kusimamia kitengo cha kutia displini hasa utukutu ukizidi, hata walezi wa kike wakiona toto limekuwa tundu wanamwambia msubiri baba yako aje, mjomba wako aje, n.k. Sasa basi unakuta sometimes kijana mdogo yupo hata...
  2. Teslarati

    Wazazi na walezi, Kosa gani mtoto wako amewahi kufanya ila ukashindwa kumuadhibu sababu na wewe ulilifanya ukiwa mtoto?

    Habarini wana jamvi, Nmesukumwa kuleta hii mada sababu nimekumbuka kitu nikaishia kucheka tu. Mwaka jana mtoto wangu wa pili alipelekwa kuandikishwa shule na mzazi mwenzangu lakini jioni nikakuta timbwili sababu dogo alikua kapoteza begi lote la madaftari. Mama ake alikua anakaribia kumuadhibu...
  3. Pang Fung Mi

    Popote mlipo wazazi, walezi, ndugu na jamii walindeni, saidieni mabinti wa vyuo

    Wasalaam!! Nichukue fursa hii kuwaasa wanajamii, wazazi, walezi na ndugu wenye mabinti vyuo vikuu (Degree), vya kati (Diploma) na vya chini (Certificates) lindeni mabinti zenu, jitoleeni kwa hali na mali na pia, wapeni usia na elimu ya maisha, ugumu wa maisha, na elimu ya kujitambua. Hali ni...
  4. Raphael Thedomiri

    WALEZI: Tununue vifaa vya shule

    Habarini wana-JF wenzangu. Kama kichwa cha habari hapo juu kilivyo, ninawakumbusha wazazi/walezi wenzangu kwamba, tutenge muda mapema hii kuwanunulia watoto wetu vifaa vya shule, kuepuka gharama na usumbufu usio wa lazima. =============== Zikiwa zimesalia wiki mbili muhula mpya wa...
  5. Barackachess

    Kwa Wazazi na Walezi wenye Watoto/Wanafunzi wakati wa likizo wasajili wafanye mitihani mtandaoni

    Je wewe ni mzazi au mlezi na unamtoto ambaye yupo likizo katika msimu huu wa sikukuu za christimas na mwaka mpya? Au je wewe ni mwanafunzi na ungetamani kujipima na wanafunzi zaidi ya elfu2 nchi nzima kupitia mitihani inayoendeshwa kwa njia ya mtandao? Taifa International Online School kwa...
  6. Mwamuzi wa Tanzania

    Mmomonyoko wa maadili chanzo ni wazazi na walezi kwa 99.9%

    Habari! Kuna vitu vinatokea tunaanza kumsingizia shetani au makundi. Hayo makundi mabaya yanaundwa na wanyama? Ni watu ambao wazazi na walezi wao wameshindwa kuwaonyesha njia. Kitaalamu tunasema tabia ya mtoto inajengwa shule, nyumbani na barabarani. Tone la bahari ukitia kwenye mto wa maji...
  7. Mwizukulu mgikuru

    Wazazi/ walezi jitahidini sana kuzisoma hisia za watoto wenu

    Hii kitu imeleta shida hapa eneo ninaloishi, nipo huku mkoani kikazi na kwakuwa kazi yangu itachukua muda mrefu nimeona nipange nyumba kabisa. Sasa hapa nilipopanga naishi na mama mwenye nyumba ambae ana kibinti chake kilichovunja ungo, nadhani mnaelewa sifa ya hivi vibinti vinakuwa vya moto...
  8. BigTall

    Wazazi, Walezi na Walimu acheni kupiga watoto kama ngoma zama zimebadilika, kitawakuta kitu

    Umri wa wale ambao wamezaliwa kuanzia miaka ya 90 kurudi nyuma, kufika hadi miaka ya 80 na kuendelea huko nyuma, matukio ya mzazi kumpiga mtoto kama vile anapiga mwizi anaekamatwa mtaani ilikuwa ni kawaida. Yaani ilikuwa mzazi akikukamata kukupa kichapo ilikuwa ni kichapo hevi kinomanoma, hiyo...
  9. F

    Umekumbuka kuwatumia chochote wazazi walezi au ndugu zako?

    Tarehe kama hizo najua baadhi yetu mifuko imetuna,Kwa wale majobless msikonde iko siku..nirudi kwenye mada,je umekumbuka kutuma chochote Kwa wazazi wako,walezi au pengine hata ndugu zako..? Tujitahidi tutume chochote Kwa wazazi tusisubiri kuombwa kwani ndio baraka zilipo..kumwagilia Moto sio...
  10. sky soldier

    Walezi acheni kupeleka watoto bweni kama shule za kutwa zipo karibu. Bweni inaweza kuwa jehanamu kwa mtoto mdogo na kijana anayepitia balehe

    Leo mtoto wangu wa darasa la nne kaniletea barua kutoka shuleni kwao kwamba eti yafaa zaidi awe anabaki huko huko shuleni boarding asiwe anarudi nyumbani. Nikiwa kama mzazi wake hii barua ilinipa hasira sana, hhizi shule za sikuhizi wametanguliza sana pesa kuliko watoto wetu, Kuna kipindi...
  11. chizcom

    Walezi au wazazi tuna kazi kuchunga mtoto wa kiume kuliko wa kike kutokana na tabia ya ushoga kukua kwa kasi

    Dunia inaelekea kubaya tena kubaya sana na ukijumlisha utandawazi unaopelekea watoto wa kiume kuwa mashoga asilimia kubwa. Yani sasa hivi ukiwa na mtoto wa kiume unakuwa naye makini kuliko mtoto wa kike maana kila kona sio salama. Tufanyeje na kila sehemu wanaanza kuweka bendera zao na...
  12. Roving Journalist

    SONGWE: TAKUKURU yatoa mafunzo kwa Walimu na Walezi wa Skauti

    Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoani Songwe imetoa elimu kwa walimu na walezi wa Skauti wa shule za msingi na sekondari ikiwa ni mkakati wa kupambana na rushwa kuanzia ngazi ya chini.
  13. heartbeats

    Walezi wa siku hizi malezi ni ziro wengi wao, hili jambo si mara ya kwanza kuliona

    Habari wakuu wenzangu Unakuta mtu yupo bize na smart phone kuliko malezi au kumjali mtoto, unakuta mtoto katundikiwa mziwa mama hajali kama mtoto ananyonya kupitia pua au mdomo ye ni bize na kuperuzi tu, Jambo lililonikera ni moja tu, nimekutana na mama mmoja ni mnenee tako iloo yani shape...
  14. Analogia Malenga

    DC kukamata wazazi, walezi wasiopeleka watoto shuleni

    Mkuu wa Wilaya ya Kilosa mkoani Morogoro, Alhaji Majdi Mwanga, ametishia kuwakamata na kuwafikisha mahakamani wazazi na walezi watakaoshindwa kuwapeleka shuleni watoto waliochaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza. Mwanga alisema hayo mjini hapa katika mkutano wa hadhara na wananchi kuhusu...
  15. Idugunde

    Ni wakati wa WanaCCM kuwakataa wahuni wanaoleta matabaka ndani ya Chama

    Kwa wana CCM wasio na “baba walezi” kataeni matabaka kwenye Chama chetu maana ndio msingi wa Usawa wa Binadamu ambayo ni Imani ya Kwanza ya Chama chetu na wanachama. Matabaka ni mbinu moja ya wahuni kukidhoofisha Chama chetu kwa maslahi yao, tuikatae tabia hiyo #kataawahuni.
  16. S

    Sheria inayomhukumu miaka 30 mwanaume aliyemtia mimba binti wanafunzi au aliye chini ya miaka18 ni kandamizi na inasababisha mzigo mzito wa walezi

    Ni kweli kutiwa mimba kwa mwanafunzi au msichana chini ya miaka 18 inamnyima fursa huyo binti ya kusoma na kutengeneza maisha yake ya baadae! Leo waziri wa Elimu Joyce Ndalichako anatarajiwa kutoa waraka wa kuwaruhusu mabinti waliotiwa mimba kuendèlea na masomo! Je nauliza maswali yafuatayo...
  17. Nyendo

    DC Singida: Wasiopeleka watoto wa kike shule tutawachukulia hatua

    Mkuu wa Wilaya ya Singida Mhandisi Paskas Muragili amesema wazazi wote ambao hawatawapeleka watoto wa kike shule watachukuliwa hatua. Akizungumza kwenye hafla ya kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Mtoto wa Kike Duniani yaliyofanyika kiwilaya katika mji mdogo wa Ilongero wilayani Singida, amesema...
  18. C

    Kutana na walezi wa Biashara na Dodoma Jiji wanaoshangaza mno

    Mlezi mmoja team yake ili struggle kupata nauli ya kwenda Djibout na wachezaji watano hawakuwa na passport wakafika Djibout siku ya mechi wakashinda wakarudi dar wakashinda leo wako round ya kwanza ya kombe la afrika shirikisho, mlezi hakutoa hata senti moja kuwasaidia usafiri wala kusaidia hata...
  19. DolphinT

    Elimu bora inahitaji ushiriki wa wazazi na walezi

    Katika makala zilizotangulia niliweka bayana kuwa ili tuweze kupata elimu bora tunahitaji mambo gani; kwa ufupi tu nilianisisha suala la mazingira bora ya kujifunza na kufundishia, vifaa vya kujifunza na kufundishia waalimu bora, ushiriki wazazi na walezi pamoja na suala zima la stahiki na...
  20. GENTAMYCINE

    Kwanini wazazi/walezi waliotuchapa viboko vya uhakika leo wanatuzuia na kawatetea tunapowachapa watoto wetu?

    Kuna muda huwa nakaa na siwaelewi Wazazi (Walezi) wetu ambao wakati akina GENTAMYCINE tukiwa Watoto miaka ya mwanzoni mwa 80 walikuwa wakituchapa Bakora (Mboko) tena za Kishalubela (Kikatili) ili watunyooshe Kitabia na Kimaadili ndiyo hao hao Leo hii nasi tukiwanyoosha Wajukuu zao (Watoto wetu)...
Back
Top Bottom