walezi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Wazazi, walezi mnaonaje hili suala la kufanya kila mtu kuonekana ni ndugu kwa watoto wenu?

    Kuna tabia ya wazazi ama walezi wenye marafiki mbalimbali pia hata majirani kuwaambia watoto wao kuwa, waitane kaka na dada ama mjomba ama aunt. Hapa sijaeleweka ngoja nitoe mfano. Wewe una mtoto mdogo na jirani yako naye ana mtoto mdogo, yule mtoto wako ukamsikia anamsalimia yule jirani yako...
  2. Wazazi/walezi tuna-fail wapi?

    Baada ya ajali ya moto uliochoma shule Kagera jana kuua watoto 10 na kujeruhi 7 wa kati ya miaka 6 - 10 ๐Ÿ™๐Ÿ™ (May their little souls Rest in Heaven ๐Ÿ‘ผ๐Ÿ‘ผ) Naomba kuwauliza wanajamii wenzangu, je ni wakati gani kama mzazi/mlezi unaweza sema "It can't be helped. Mtoto NI LAZIMA aende boarding...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ