walifukuzwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kipi chanzo hasa cha Chuki na kuuliwa kwa Wayahudi Ulaya?

    Salaam wana jukwaa! Sina haja ya kueleza kwa kina yaliyowakuta wayahudi, lakini Vitabu vya historia—vya kisekula na kidini—vinaeleza wayahudi walifukuzwa na kuuawa maeneo mengi ya Asia na ulaya, mfano Uajemi, Uyunani, Roma, Hispania, Ufaransa, Urusi, Italia na hatimaye Ujerumani. Nini...
  2. Q

    DP World walifukuzwa Yemeni (Aden Port)

    Kwanini viongozi wetu hawataki kujifunza makosa ya nchi zingine zilizowahi kuingia mikataba ya aina hii na DP World. Mwaka 2008 Yemeni waliingia mkataba wa miaka 30 kwa bandari yao ya Aden Port na DPW na kusainiwa haraka haraka na rais wa wakati huo aliyekuwa anamaliza muda wake Rais Ali...
  3. Wabadhirifu 3 tu kati ya 585 walifukuzwa kazi kwa ripoti ya CAG, 384 wakihamishwa vituo

    Waziri wa Nchi katika Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Angellah Kairuki amesema watumishi 116 wamechukuliwa hatua kutokana na ubadhirifu fedha za umma. Kairuki ameyasema hayo Jumamosi Novemba 5,2022 wakati akichangia taarifa za Kamati za Kudumu za Bunge za Hesabu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…