walimu wa madrasa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. The Watchman

    Mufti amuombea msamaha ustadhi aliyechapa viboko watoto wadogo bila huruma

    Sheikh Mkuu na Mufti wa Tanzania, Sheikh Dkt. Abubakar Zuber Bin Ally ametumia mashindano ya kusoma na kuhifadhi Qur-an Tukufu kumuombea msamaha mwalimu wa Madrasa, Mussa Bashiri, aliefikishwa mahakamani akikabiliwa na mashtaka ya kuwafanyia ukatili wa kuwachapa viboko watoto wawili wenye umri...
  2. U

    Kongamano la Walimu wa Madrasa: Mufti awataka kujiendeleza kielimu waendane na mabadilko ya kiteknolojia

    Wadau hamjamboni nyote? Taarifa kamili hapo chini: Samaha Mufti wa Tanzania Dr. Abubakar Zubeir Ali Mbwana amewataka walimu wa Madrasa kote nchini kujiendeleza kielimu na kujifunza fani mbalimbali zitakazowawezesha kufanya kazi yao vyema katika huu wakati wa mabadiliko makubwa ya kiteknolojia...
Back
Top Bottom