walimu wa madrasa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania MNEC Toufiq Salim Turky Aahidi Kuendeleza Ufadhili wa Walimu wa Madrasa Katika Jimbo la Mpendae

    MNEC TOUFIQ TURKY AAHIDI KUENDELEZA UFADHILI WA WALIMU WA MADRASA Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Ndugu Toufiq Salim Turky amekutana na viongozi mbalimbali wa Misikiti na Walimu wa Madrasa katika Jimbo la Mpendae ambapo amewatoa wasiwasi kwa kuahidi kuwa ataendelea...
  2. W

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa Madrasa afungwa kwenye mti na Kuchapwa kwa kushindwa kuisoma Quran kwa Kiarabu

    Video ya kusikitisha inayosambaa mtandaoni Nigeria inaonyesha Mvulana mdogo akiwa Madrasa kafungwa kwenye mti baada ya kupigwa viboko kwasababu ya kushindwa kuisoma Qur’an kwa sauti kwa lugha ya kiarabu. Google: Almajiri child tied tree
  3. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Mufti amuombea msamaha ustadhi aliyechapa viboko watoto wadogo bila huruma

    Sheikh Mkuu na Mufti wa Tanzania, Sheikh Dkt. Abubakar Zuber Bin Ally ametumia mashindano ya kusoma na kuhifadhi Qur-an Tukufu kumuombea msamaha mwalimu wa Madrasa, Mussa Bashiri, aliefikishwa mahakamani akikabiliwa na mashtaka ya kuwafanyia ukatili wa kuwachapa viboko watoto wawili wenye umri...
  4. U

    JamiiForums Tanzania Kongamano la Walimu wa Madrasa: Mufti awataka kujiendeleza kielimu waendane na mabadilko ya kiteknolojia

    Wadau hamjamboni nyote? Taarifa kamili hapo chini: Samaha Mufti wa Tanzania Dr. Abubakar Zubeir Ali Mbwana amewataka walimu wa Madrasa kote nchini kujiendeleza kielimu na kujifunza fani mbalimbali zitakazowawezesha kufanya kazi yao vyema katika huu wakati wa mabadiliko makubwa ya kiteknolojia...
Back
Top Bottom