Sheikh Mkuu na Mufti wa Tanzania, Sheikh Dkt. Abubakar Zuber Bin Ally ametumia mashindano ya kusoma na kuhifadhi Qur-an Tukufu kumuombea msamaha mwalimu wa Madrasa, Mussa Bashiri, aliefikishwa mahakamani akikabiliwa na mashtaka ya kuwafanyia ukatili wa kuwachapa viboko watoto wawili wenye umri...