waliofariki kwenye maandamano

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Q

    JamiiForums Tanzania Tarehe 29/10 ya kila Mwaka iwe siku ya kuwakumbuka wapendwa wetu kama Tume ilivyoshauri

    Tume imeshauri kuwe na siku ya kumbukumbu ya muuaji ya halaiki ya Mo29 kila mwaka, ni jumbo zuri. Rwanda kila tarehe 7 ya mwezi Aprili huadhimisha kumbukumbu ya mauaji ya kimbari iliyotokea mwaka 1994. Faida kuu 2, mosi ni kuwakumbuka na kuwapa heshima wapendwa wetu waliotangulia mbele ya...
  2. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Padre Kitima: Sisi tunamiliki Hospitali, waliletwa majeruhi, wakasema wasitibiwe tunataka kuwaona Mochwari

    Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania, Padri Charles Kitima, amesema kuwa wakati wa maandamano kuliletwa majeruhi waliokuwa wameumia, lakini baadhi ya askari walizuia wapewe matibabu wakidai “tunataka kuwaona mochwari.” Ameeleza kuwa, kwa kuwa Kanisa Katoliki linamiliki hospitali...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…