Tarehe 29/10 ya kila Mwaka iwe siku ya kuwakumbuka wapendwa wetu kama Tume ilivyoshauri

Tarehe 29/10 ya kila Mwaka iwe siku ya kuwakumbuka wapendwa wetu kama Tume ilivyoshauri

Quinine

Platinum Member
Joined
Jul 26, 2010
Posts
25,848
Reaction score
63,306
Tume imeshauri kuwe na siku ya kumbukumbu ya muuaji ya halaiki ya Mo29 kila mwaka, ni jumbo zuri.

Rwanda kila tarehe 7 ya mwezi Aprili huadhimisha kumbukumbu ya mauaji ya kimbari iliyotokea mwaka 1994.

Faida kuu 2, mosi ni kuwakumbuka na kuwapa heshima wapendwa wetu waliotangulia mbele ya haki. Pili ni kuwakumbusha waliohusika kutorudia makosa waliyofanya.
 
Mkuu, hilo likae pembeni kwanza.

Cha kwanza kutoitambua Serikali iliyojiweka madarakani na kuwajibisbwa kwa waliofanya mauwaji.
 
Walio uwawa tuwakumbukuke, Walio ua tusiwatambue, sababu zilizo waingiza barabarani nazo tusizibainishe.

Bora hata tuache.
 
Back
Top Bottom