Wadau naomba kujua kwanini waliokufa kwa ajali ya ndege huko Bukoba jana, mazishi yao yanagharamiwa na Serikali. Mbona wanaokufa na treni, mabasi, boti hayagharamiwagi na Serikali?
Mwenye ujuzi atujuze...
Very sad. Maono katika taifa hili ni janga kubwa. Masaa zaidi ya 24 hatujui Kama marubani waliokolewa ama la.
Taarifa tunaambiwa tusubiri itatolewa lini na nani anaiandaa taarifa hiyo.
Kwa uhalisia tu PM Hana janja kweli hili inabidi atupishe.
Ripoti ya Uchunguzi wa Sumu kuhusu chanzo cha vifo vya vijana 21 waliofariki dunia wakati wakinywa pombe eneo la #Tavern mwezi Juni, 2022 imeonesha kuwa walikosa hewa kutokana na msongamano wa watu.
Mmiliki wa eneo lilipotokea tukio hilo anakabiliwa na mashtaka ya kukiuka sheria za Pombe za...
Kwa mujibu wa kifungu namba 162 cha Sheria ya Kanuni za Adhabu kama ilivyofanyiwa marekebisho mwaka 2019 ni kosa kisheria kwa mtu yeyote kupiga picha maiti, watu waliokufa au waathirika wa uhalifu au matukio mabaya kama vile ajali bila kuwa na kibali cha polisi au chombo chenye mamlaka...
Nimefikiria nimefikiriaaa nimekosa jibu. Kuna hawa watu hasa wa instagram wakipata tu habari ya mtu maarufu au msanii amekufa wanaanza kufollow account yake ya instagram.
Hivi hua mnawatakia nini marehemu? Unajua kabisa amekufa hata ukimfollow inakuwa haina maana tena, hatopost tena na hata...
Ni upumbavu wa hali ya juu wazee wetu waliotangulia mbele ya haki kuitwa mizimu halafu wale wazungu kuitwa watakatifu, nakereka sana.
Utasikia mtakatifu Yohana utuombee. Halafu sisi tukiwaambia wazee wetu watuombee mnasema tunaabudu mizimu.
Halafu sipendi kabisa mnavyosema sisi ni wapagani...
1: Julius Kambalage Nyerere
Alikufa akiamini katika falsafa ya ujamaa na kuupinga Ubeberu mpaka dakika za mwisho za kifo chake!! baada ya yeye kufa panya wote wakatoka kwenye mashimo na kuanza kuuza nchi na kusababisha yote yanayotutesa leo ndiye mtu ambaye hakuiba hata mia ya Nchi hii akiwa...
Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mashimba Ndaki ametoa ripoti ya uchunguzi wa samaki walionekana wakizagaa katika fukwe za Hospitali ya Aga Khan na Ocean Road, akisema hawakufa kwa sumu.
Tukio la samaki kilogramu 164 kuonekana kuzagaa katika maeneo hayo lilitokea Julai 21 mwaka huu, ambapo Serikali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.