Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mashimba Ndaki ametoa ripoti ya uchunguzi wa samaki walionekana wakizagaa katika fukwe za Hospitali ya Aga Khan na Ocean Road, akisema hawakufa kwa sumu.
Tukio la samaki kilogramu 164 kuonekana kuzagaa katika maeneo hayo lilitokea Julai 21 mwaka huu, ambapo Serikali...