waliombaka binti wa yombo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kwanini huyu anayesemekana kuwa ni mwanajeshi anayetuhumiwa kubaka alikuwa hajafungwa pingu? Na hao waliokuwa wanaongozana naye ni akina nani?

    Nimeangalia katika TV na mitandao ya kijamii, nimeona huyo anayeitwa mwanajeshi hajafungwa pingu. Ninachofahamu, mtuhumiwa akiingia katika chumba cha mahakama, ndio pingu hutolewa. Lakini kwa huyu ni tofauti, na pia ni kama alikuwa kaambatana na watu wawili wasiofahamika, mmoja ana tisheti...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…