waliombaka binti wa yombo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Waliombaka binti wa Yombo, Nyundo na wenzake wanapinga hukumu, hatma yao kujulikana Septemba 25, 2025

    ‎Hatma ya rufaa ya Nyundo na wenzake watatu wanapinga hukumu ya kifungo cha maisha gerezani kwa kosa kubaka kwa kikundi na kumwingilia kinyume na maumbile Binti Mkazi wa Yombo Dovya Dar es salaam kujulikana Septemba 25, 2025 kwenye mahakama kuu Kanda ya Dodoma. ‎ ‎Nyundo na wenzake watatu...
  2. chiembe

    JamiiForums Tanzania Kwanini huyu anayesemekana kuwa ni mwanajeshi anayetuhumiwa kubaka alikuwa hajafungwa pingu? Na hao waliokuwa wanaongozana naye ni akina nani?

    Nimeangalia katika TV na mitandao ya kijamii, nimeona huyo anayeitwa mwanajeshi hajafungwa pingu. Ninachofahamu, mtuhumiwa akiingia katika chumba cha mahakama, ndio pingu hutolewa. Lakini kwa huyu ni tofauti, na pia ni kama alikuwa kaambatana na watu wawili wasiofahamika, mmoja ana tisheti...
Back
Top Bottom