Waliombaka binti wa Yombo, Nyundo na wenzake wanapinga hukumu, hatma yao kujulikana Septemba 25, 2025

Waliombaka binti wa Yombo, Nyundo na wenzake wanapinga hukumu, hatma yao kujulikana Septemba 25, 2025

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
‎Hatma ya rufaa ya Nyundo na wenzake watatu wanapinga hukumu ya kifungo cha maisha gerezani kwa kosa kubaka kwa kikundi na kumwingilia kinyume na maumbile Binti Mkazi wa Yombo Dovya Dar es salaam kujulikana Septemba 25, 2025 kwenye mahakama kuu Kanda ya Dodoma.
‎
‎Nyundo na wenzake watatu wanapinga hukumu ya kifungo cha maisha gerezani waliyohukumiea na mahakama ya hakimu Mkazi Septemba 30, 2024 baada ya kukutwa na hatia kwenye mashtaka waliyokuwa Wanaka Iliana nayo ya kubaka kwa kikundi na kulawiti.
‎
‎Waliokata Rufaa askari wa Jeshi la wananchi wa Tanzania (JWTZ) MT. 140105 Private Clinton Damas (Nyundo), Amin Lema (Kindamba), Nickson Jackson (Machuche) na askari Magereza C. 1693 WDR Praygod Mushi.
‎
‎Washtakiwa hao walipata rufaa ya kupinga adhabu ya kifungo cha maisha gerezani ambayo ilianza kusikilizwa Juni 3, 2025 mbele ya Jaji wa mahakama kuu Kanda ya Dodoma Amir Mruma.
 
Hao hakuna hakimu wa kuwafunga Nina uhakika hii kesi wanachomoka
 
Back
Top Bottom