waliopata

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Getrude Mollel

    Wanafunzi 3,000 Waliopata ujauzito na sababu mbalimbali warudi Shuleni. Benki ya Dunia yaahidi kuongeza misaada

    Benki ya Dunia imeipongeza Tanzania kwa kuamua kuwekeza kiasi kikubwa cha fedha kwenye maeneo ya uzalishaji kikiwemo kilimo, mifugo na uvuvi mambo ambayo yatachochea ukuaji wa kipato cha wananchi na kukuza uchumi wa nchi. Pongezi hizo zimetolewa Jijini Dar es Salaam na Makamu wa Rais wa Benki...
  2. Sanyambila

    Wale mtakaofanikiwa ajira za Ualimu njooni hapa tujuzane

    Wana JamiiForums habari za leo Nimeona nilete Uzi huu kwanii yamebaki Masaa machache waziri mwenyedhamana kutangaza majina ya waliopata kazi kulitumikia Taifa katika kada yavualimu na kada ya afya. Hivyo basi wale mtakao fanikiwa njooni hapa tujuzane . ili uweze kupata mwenzio, .au wa njia...
  3. Me too

    Waliopata mali uzeeni ndio wanaongoza kwa kuukataa uzee

    1/ Hawapendi heshima ya salamu hii shikamoo 2/Wakwe zao (wapenzi wa watoto wao) wakiwaona chap hujiweka kana kwamba wanalingana. 3/Wanaongoza kwa ubabe wa michango ili waonekane wako juu kumbe wanapumulia mifuko ya watoto wao. 4. Hawa wastaafu wanaongoza kwa kujadili maisha (kwa kuhisi) ya...
  4. kyagata

    Hili lina ukweli kuhusu waliopata 49-45 written interview ya TRA?

    Kuna mdau juzi kati alifanya written interview utumishi kada ya Tax management officer ii mwajiri akiwa TRA, kwa maelezo yake anasema aliscore 45.5 kwenye huo mtihani, sasa anasema kuna mtu kamjulisha kuwa kuna habari inaendelea huko utumishi kuwa kuna uwezekano wa watu walioscore kuanzia 49...
  5. Roving Journalist

    #COVID19 Serikali: Waliopata chanjo ya UVIKO-19 Tanzania ni asilimia 9.81

    Kauli za Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu wakati akipokea chanjo aina ya Sinovac dozi milioni moja kutoka Serikali ya Uturuki, leo Machi 23, 2022. "Kwa niaba ya Serikali chini ya Mhe. Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, tunaishukuru Serikali ya Uturuki kwa kupokea ufadhili...
  6. M

    Naomba tupeane updates kidogo kwa wale walioenda kufanya interview ya oral dodoma baada ya kupita written ya TRC

    wadau za mda huu Naomba tupeane updates kidogo kwa wale walioenda kufanya interview ya oral dodoma baada ya kupita written ya TRC Oral ilifanyika tarehe 9 february na leo ni february 28 mwezi
  7. John Haramba

    Nape, Tido Mhando wawatembelea wafanyakazi wa Azam TV waliopata ajali

    Waziri wa Habari, Nape Nnauye akiwa na Afisa Mtendaji Mkuu wa Azam Media, Tindo Mhando, jana usiku walifika Hospitali ya Taifa Muhimbili Dar es Salaam kuwajulia hali waandishi wa habari wanne wa Azam waliopata ajali ya gari Mlima wa Kitonga, Iringa wakiwa safarini kwenda Mbeya. Awali, majeruhi...
  8. N

    Orodha ya watumishi waliopata vibali vya uhamisho wa kubadilishana vituo vya kazi kuanzia Novemba 2021 – Januari 2022

    ORODHA YA WATUMISHI WALIOPATA VIBALI VYA UHAMISHO WA KUBADILISHANA VITUO VYA KAZI KUANZIA NOVEMBA,2021 – JANUARI,2022 Katibu Mkuu Ofisi ya Rais TAMISEMI Prof.Riziki Shemdoe ameridhia kufanyika kwa uhamisho wa watumishi 1544 wa kubadilishana vituo vya kazi kwenye Mamlaka za Serikali za MItaa...
  9. GENTAMYCINE

    Kwangu Mimi Manyerere Jackton aliyepata 'Masters' yake SAUT juzi ndiyo Msomi na siyo wale 'Wasanii' Wawili waliopata 'PhD's' zao za UDOM hivi karibuni

    Awali ya yote nianze kwa Kukupongeza sana na kwa Furaha mno 'Poti' wangu wa Kizanaki kutoka Mkoani Mara na Mkurugenzi Mwenza wa Gazeti la JAMHURI Kaka Manyerere Jackton kwa kupata Masters Degree yako ya Mass Communication kutoka Chuo Kikuu changu 'pendwa' Tanzania nzima cha SAUT Mwanza. Kwa...
  10. Idugunde

    Halmashauri kuu Ccm (w) Njombe haijaridhishwa na serikali kuruhusu wanafunzi waliopata mimba kurudi shule. Yaomba uamuzi ubatilishwe.

    Halmashauri kuu ya Chama cha Mapinduzi(CCM) Wilaya ya Njombe, haijaridhishwa na uamuzi wa serikali kuwarejesha shule za kawaida baada ya wanafunzi (wazazi) waliopata ujauzito na kujifungua. Imetoa mapendekezo kwa halmashauri kuu ya CCM mkoa kuiomba serikali kubatilisha uamuzi huo...
  11. Idugunde

    Kurudisha mabinti waliopata mimba shuleni ni kunyoosha mikono juu na kulikabidhi taifa letu kwa wakoloni mambo leo kwa ajili ya mkopo wa bil 600

    Fikiria binti asiyekuwa na maadili na alipata malezi mabaya akaanza uhuni akiwa na miaka kumi na nne akapata mimba akiwa la sita. Alafu akajifungua kisha akirudi shule akawa anasoma na mabinti ambao hawajawahi kubikiriwa, hatakuwa na ushawishi mbovu kwao ili waonje utamu wa ngono? Tumejustify...
  12. Naipendatz

    Serikali: Wanafunzi waliopata mimba kuendelea na Masomo katika mfumo rasmi

    Waziri wa Elimu Prof. Ndalichako amesema Wanafunzi wa Shule za Msingi/Sekondari watakaokatisha masomo kwa sababu mbalimbali ikiwemo utoro, mimba na changamoto za kifamilia watapewa nafasi ya kurejea Shuleni katika mfumo rasmi “leo leo natoa waraka zege halilali" ====== Waziri wa Elimu, Prof...
  13. Frumence M Kyauke

    Watu maarufu waliopata vifungua mimba 2021

    Ni matamanio na furaha ya kila mwanandoa kubarikiwa na watoto wenye afya, baada ya safari ndefu ya ujauzitoMwaka wa 2021, tumeona na kushuhudia baadhi ya watu mashuhuri ambao wamebarikiwa na vifungua mimba wao. Hii hapa baadhi ya orodha ya watu waliobarikiwa na watoto wa kwanza mwaka wa 2021...
  14. Analogia Malenga

    #COVID19 Waliopatiwa chanjo waombwa kutoa ushirikiano wanapotakiwa kufanyiwa tafiti

    Serikali imeanza mchakato wa utafiti wa kuwapima afya baadhi ya watu waliopata chanjo ya kuzuia Uviko-19 ili kujua maendeleo ya afya zao. Lengo la utafiti huo ni kubaini mwenendo wa afya za waliochanjwa ili kuona wastani wa kinga zao na namna wanavyoweza kujikinga. Kauli hiyo imetolewa leo...
  15. mfianchi

    #COVID19 Marekani: Waliopata chanjo ya J&J wakimbilia kupata "booster"

    Wakuu hii habari nimeisoma Yahoo, na nimeC&P baadhi ya habari yenyewe ====== Jennifer Lopez, 58, had jumped at the chance to get the Johnson & Johnson vaccine last March, but soon began feeling regret when data showed it might be less effective than other coronavirus vaccines. So, when the...
Back
Top Bottom